bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
We utakuwa umefukuzwa jeshini au umewahi kupokea kipigo cha wajeda si bure uichukie timu yenyewe ya mkiani kabisa kila siku vipigo.Jkt ruvu ikifungwa ndiyo huwa nafurahia.
Mh kwahiyo mkuu ww kwako kila siku utakuwa una furaha maana hiyotimu si inapigwa mara kibao tu.