Ni trilion ngapi zinatosha kujenga Hospitali inayokidhi matibabu ya viongozi wetu ili wasiende tena India? India imekuwa Jehanamu inameza viongozi we

Ni trilion ngapi zinatosha kujenga Hospitali inayokidhi matibabu ya viongozi wetu ili wasiende tena India? India imekuwa Jehanamu inameza viongozi we

Bulelaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
1,342
Reaction score
3,247
Ifahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu

Kama Taifa, kweli kabisa hatuna uwezo wa kujenga miundombinu bora na vifaa tiba vyote vinavyokidhi ubora kama India ambako viongozi wengi sasa wakiugua tu, utasikia wamepelekwa India kwenye matibabu

India sasa imekuwa kama Jehanamu inayomeza viongozi wetu

Kinazuwia nini sisi kujenga Hospital ya kisasa na vifaa tiba vya kisasa ili kuepuka kusafirishwa viongozi wetu kwenda India kisha kurudi maiti?

Ni nani mwenye uthubutu wa kufanya hili?

Viongozi wetu tunawapenda, ifike hatua na nyinyi mpendeke, vaeni uthubutu wa kuanzisha mambo magumu kwenye ubongo wetu, Magufuli alisema, Kila kitu tu aweza, kazi ni sisi kuamua
 
Unategemea baada ya kuchezea mfumo wa elimu watakubali kupasuliwa hapa ?? Hizo division 5 miksa social media wasubutu kupasuliwa waone kama connection zao hawatozikuta x.........tuone wanavyochokonolewa na madaktari wa mchongo
 
Back
Top Bottom