Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Mwalimu ilimuua kansa sita umri ulishaendaMwalimu na Sitta walifia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu ilimuua kansa sita umri ulishaendaMwalimu na Sitta walifia wapi?
Naijua vizuri bossApollo yenyewe sio Lele mama
Ndio best hospital is south Asia
Standard za Apollo ni za juu sana kwa gharama nafuu
Shida sio mjengo tu, ishu iko hapa, madokta wetu wengi wamesoma hapa hapa bongo kwenye vyuo vyetu visivyo na ubora, ambsvyo alama za kufaulu zinuzwa kwa pesa au ngono, sasa viongozi wetu wanajua hili kwamba tuna madokta fake kila Kona, na ni yupo taysri kutibiwa na dokta aliyefoji matokeo?Ifahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu
Kama Taifa, kweli kabisa hatuna uwezo wa kujenga miundombinu bora na vifaa tiba vyote vinavyokidhi ubora kama India ambako viongozi wengi sasa wakiugua tu, utasikia wamepelekwa India kwenye matibabu
India sasa imekuwa kama Jehanamu inayomeza viongozi wetu
Kinazuwia nini sisi kujenga Hospital ya kisasa na vifaa tiba vya kisasa ili kuepuka kusafirishwa viongozi wetu kwenda India kisha kurudi maiti?
Ni nani mwenye uthubutu wa kufanya hili?
Viongozi wetu tunawapenda, ifike hatua na nyinyi mpendeke, vaeni uthubutu wa kuanzisha mambo magumu kwenye ubongo wetu, Magufuli alisema, Kila kitu tu aweza, kazi ni sisi kuamua
Miundombinu na vifaa is the least of our worries.Ifahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu
Kama Taifa, kweli kabisa hatuna uwezo wa kujenga miundombinu bora na vifaa tiba vyote vinavyokidhi ubora kama India ambako viongozi wengi sasa wakiugua tu, utasikia wamepelekwa India kwenye matibabu
India sasa imekuwa kama Jehanamu inayomeza viongozi wetu
Kinazuwia nini sisi kujenga Hospital ya kisasa na vifaa tiba vya kisasa ili kuepuka kusafirishwa viongozi wetu kwenda India kisha kurudi maiti?
Ni nani mwenye uthubutu wa kufanya hili?
Viongozi wetu tunawapenda, ifike hatua na nyinyi mpendeke, vaeni uthubutu wa kuanzisha mambo magumu kwenye ubongo wetu, Magufuli alisema, Kila kitu tu aweza, kazi ni sisi kuamua
Mmmmm india kwa miaka zaidi 50 sasa wako no 1 duniani....kwa hiyo huduma duniani......nchi masikini unataka uweke hospital.kwa viongozi wengine je ? Tupambane haki zetu bado watu hawajui mlo wa pili itakuwaje zaidi 60% umasikiniii mkubwaaIfahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu
Kama Taifa, kweli kabisa hatuna uwezo wa kujenga miundombinu bora na vifaa tiba vyote vinavyokidhi ubora kama India ambako viongozi wengi sasa wakiugua tu, utasikia wamepelekwa India kwenye matibabu
India sasa imekuwa kama Jehanamu inayomeza viongozi wetu
Kinazuwia nini sisi kujenga Hospital ya kisasa na vifaa tiba vya kisasa ili kuepuka kusafirishwa viongozi wetu kwenda India kisha kurudi maiti?
Ni nani mwenye uthubutu wa kufanya hili?
Viongozi wetu tunawapenda, ifike hatua na nyinyi mpendeke, vaeni uthubutu wa kuanzisha mambo magumu kwenye ubongo wetu, Magufuli alisema, Kila kitu tu aweza, kazi ni sisi kuamua
Shida sio mjengo tu, ishu iko hapa, madokta wetu wengi wamesoma hapa hapa bongo kwenye vyuo vyetu visivyo na ubora, ambsvyo alama za kufaulu zinuzwa kwa pesa au ngono, sasa viongozi wetu wanajua hili kwamba tuna madokta fake kila Kona, na ni yupo taysri kutibiwa na dokta aliyefoji matokeo?
Pale muhimbili, iliwahi kutokea, mgonjwa wa kichwa, kapasuliwa mguu, wa mguu kapasuliwa kichwa. ! Hata ungekuwa ni wewe upo taysri kuweka maisha yako na afya yako kwenye mikono ya *madokta" Wa mchongo kama hawa!
Tarehe ya kifo ikifika hukwepi hata Ukikimbilia Mars 🤣Magufuli alithibiti, halafu kilichofuata akafia Mzena Hospitali Kijitonyama
Ifahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu
Kama Taifa, kweli kabisa hatuna uwezo wa kujenga miundombinu bora na vifaa tiba vyote vinavyokidhi ubora kama India ambako viongozi wengi sasa wakiugua tu, utasikia wamepelekwa India kwenye matibabu
India sasa imekuwa kama Jehanamu inayomeza viongozi wetu
Kinazuwia nini sisi kujenga Hospital ya kisasa na vifaa tiba vya kisasa ili kuepuka kusafirishwa viongozi wetu kwenda India kisha kurudi maiti?
Ajabu ni kwamba utakuta hata jamii yako Kijijini hawana zahanati lakini unawafikiria viongozi wasioona kama kuna Hospitali yeyote inayowafaa hapa Nchini. Utumwa wa Fikra hautakaa ututoke vichwani mwetu, wacha tuendelee kuitwa Chawa tu