Ni trilion ngapi zinatosha kujenga Hospitali inayokidhi matibabu ya viongozi wetu ili wasiende tena India? India imekuwa Jehanamu inameza viongozi we

Huu mtindo wa kwenda India umerudi kwa kasi ya ajabu.
Magufuli alidhibiti hii hali na walio kuwa wanapewa kibali ni wachache sana, kulikoni sasa tena.
Waziri wa Afya Mama Jenista Muhagama anapaswa adhibiti hii hali.
 
Huu mtindo wa kwenda India umerudi kwa kasi ya ajabu.
Magufuli alidhibiti hii hali na walio kuwa wanapewa kibali ni wachache sana, kulikoni sasa tena.
Waziri wa Afya Mama Jenista Muhagama anapaswa adhibiti hii hali.
Viongozi wetu sometime wanakuwa ni kama hamnazo vile..!

Tangu waanze kwenda India kutibiwa, hawarudi na Idea yoyote ya kuwa na hospital hapa nchini yenye hadhi hizo
 
Viongozi wanasifia kuongeza hospital na vituo vya afya nchini ila wenyewe hawaviamini hata kidogo. Wanataka wewe umsomeshe mwanao shule ya kata na atibiwe Mloganzila ila wao Wakipata mafua tu wanaruka India bongo wanarudi kuzikwa tu.

Bora waende SA, Ulaya au Amerika japo huko gharama za matibabu ni kubwa maradufu ila India ni pango la walanguzi wanaenda kuisha tu huko kwenye hiyo nchi ya tatu iliyochangamka.
 
Wamekuwa hawaviamini kwa sababu wanajua, uwekezaji wake ni hafifu ndio maana
 
Tatizo ni knowledge mzee hao ngozi nyeupe bado hawajatupa knowledge na uwezo kama wao bado kuna ka elimu fulan iv kamefichwa shida sio vifaa, wala majengo mazuri
 
Hospitali sio majengo. Tuna wataalamu wa kutosha kwenye mambo ya afya? Serikali iwekeze zaidi kwenye elimu. Ikumbukwe elimu pia sio majengo tu.
 
Hospitali sio majengo Bali vifaa tiba vya Kisasa na utaalami ubobezi.

Mwisho Bongo hatuaminiani Kwa sababu za Kisiasa nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…