Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wakili Fatma Karume ameamua kuweka wazi kesi yake ya talaka mahakamani ambapo katika ugawaji mali mahakama imempa 75% dhidi ya 25% kwa upande wa mtalaka aliyekuwa mume wake.
Kinachonishangaza ni mwanaume kutaka Fatma Karume asizingatiwe kwa haki sawa wakati yeye ndiye aliyechangia zaidi katika kutafuta mali!
Hii kesi inaonyesha pia kwa nini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wanaharakati, wasomi na walio smart.