Ni ubabaifu mwanaume kulilia mali za mwanamke katika talaka. Kesi ya talaka ya Fatma Karume ina masomo muhimu sana

Kusonga ugali kwani sio kazi?
Mbona mnalipa hela kwa mama ntilie
Nashangaa sana ujue hakuna kazi ngumu kama kazi za nyumbani nashangaa watu wanachukuliaga poa sana hii sekta.. kuwafanyia maandalizi watoto na baba wanaokwenda shule na wanaokwenda kazini waende wakiwa smart..na bado wengine ubaki nao na kazi za nyumbani upambane nazo warudi wakute mambo yako fresh si jambo rahisi na ukute hana hata msaidizi wa nyumbani so ni kila kitu anafanya mtu mmoja tena kwa ukamilifu na bado anachukuliwa poa mwanamke hiyu..wanahaki na kupata 50 50 acha mfumo uwabebe
 
Bado hajafua minguo, tena nguo za watoto unasugua hadi vidole vinaota sugu.
 
Wakili Fatma Karume ameamua kuweka wazi kesi yake ya talaka mahakamani ambapo katika ugawaji mali mahakama imempa 75% dhidi ya 25% kwa upande wa mtalaka aliyekuwa mume wake.

Kinachonishangaza ni mwanaume kutaka Fatma Karume asizingatiwe kwa haki sawa wakati yeye ndiye aliyechangia zaidi katika kutafuta mali!
Hii kesi inaonyesha pia kwa nini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wanaharakati, wasomi na walio smart.

View attachment 3248257
View attachment 3248258
Msitufanye wajinga hii haki umepewa kwa hisani tu mtoto wa Rais Mstaafu hapa angekuwa niwakiume same case ingeanguka kwa mtoto wa kiume....
Tuna safari ndefu sana walahi.. Mola atunusuru
 
Bado hajafua minguo, tena nguo za watoto unasugua hadi vidole vinaota sugu.
Huwa nawaaprisheti sana wanaume wanaowarecognise wake zao japo kwa pesa kidogo motisha kwao..sa mijanaume mingine haijali wala nn si kwa losheni ,nguo za ndani za mkewe wala pesa za kusuka ..kazi za nyumbani zinachosha usipokuwa makini unachakaa utashinda bila kuoga au mazingira ya nyumbani yatakuwa safi ila wewe mama mchafu utakosa muda wa kuoga hekaheka hadi jioni inakukuta unaogea kitanda unalala hoiii..
 
Nashangaa sana ujue hakuna kazi ngumu kama kazi za nyumbani nashangaa watu wanachukuliaga poa sana hii sekta.. kuwafanyia maandalizi watoto na baba wanaokwenda shule na wanaokwenda kazini waende wakiwa smart..na bado wengine ubaki nao na kazi za nyumbani upambane nazo warudi wakute mambo yako fresh si jambo rahisi na ukute hana hata msaidizi wa nyumbani so ni kila kitu anafanya mtu mmoja tena kwa ukamilifu na bado anachukuliwa poa mwanamke hiyu..wanahaki na kupata 50 50 acha mfumo uwabebe
Nawaheshimu sana wanawake!
 
Nawaheshimu sana wanawake!
Tena ukute kasoma huyo mwanamke angeitumia elimu yake kufanya kazi walau wazazi wapate chochote kitu ..si ajabu kahairisha kufanya kazi mbali mbali na familia analea baba na watoto still anachukuliwa poa poa tu ..Mungu awashushie wanaume neema ya kutambua mchango wa mwanamke hasa hawa wanaume wa kiafrika Mungu awe upande wao kwa kweli
 
Huwa nawaaprisheti sana wanaume wanaowarecognise wake zao japo kwa pesa kidogo motisha kwao..sa mijanaume mingine haijali wala nn si kwa losheni ,nguo za ndani za mkewe wala pesa za kusuka ..kazi za nyumbani zinachosha usipokuwa makini unachakaa utashinda bila kuoga au mazingira ya nyumbani yatakuwa safi ila wewe mama mchafu utakosa muda wa kuoga hekaheka hadi jioni inakukuta unaogea kitanda unalala hoiii..
Unaongelea wa mama wa kizazi gani wewe??Hiki ambacho ukioa tu kesho mnaleta house girl - ndo abayefanya hizo kazi zote kuamka saa 11 asubuhi kulala saa tano. Kama mnawatoto, yeye ndo ana-amka kuwaandaa na kila kitu???
 
Naongelea wa mama wa kizazi hiki ambacho tupo ambacho ninakiona na ambacho ninakiishi...House girl anamipaka yake ya kimajukumu ,kuandaa watoto kwenda shule,chakula cha watoto na tunachokula sisi usafi wa bedroom yangu ,nguo za watu wazima hizo kazi kwangu huw hazimuhusu housegirl na hawajawahi fanya..hizo ni principles za nyumbaani kwangu na kila mtu anazake kwa home yake
 
Back
Top Bottom