Ni ubabaifu mwanaume kulilia mali za mwanamke katika talaka. Kesi ya talaka ya Fatma Karume ina masomo muhimu sana

Ndio mambo ambayo Trump hayataki hayo,eti mwanamke anaolewa leo halafu baada ya miezi kadhaa mbele anaomba talaka halafu na Mahakama inampa umiliki nusu ya mali za mume ambazo zingine alizipata hata kabla hajamuoa huyo mwanamke
Trump akamatie hapo hapo
 
Hii sheria ya kumchezea mwenzake isiegemee kwa mwanamke hata mwanaume kwani na yeye kachezewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…