Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wengi tunapenda kusema...oa upate free K, hakuna cha free K wala papuch, ukibisha mkiachana unadaiwa mali 50/50 Wakati kazini alikuwa akienda mwanaume.Unasema ukwelii, naunga mkono hoja yako.
Aisee. Hiyo ''pili-nyuto kotati'' ni muhimu sana kwa maisha ya sasa japo siielewi. Wenye kujua huyu mdudu tafadhali sana watuezee ili vidume tupate makombora ya kuwapiga upande wa piliKuna funzo hapa.
Wanandoa tarajali kusainiana Mikataba ya Kusajili Mali zao (Pre-nuptial Contract) ni muhimu sana katika maisha ya Sasa.
Pre-nuptial Contract will help to avoid the problem of the Marriage Conemanship in case of divorce like this.
Ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba kiuhalisia Wanaume wenyewe huwa wanakuwa chanzo cha matatizo yote haya ya wao kutapeliwa au kudhulumiwa mali zao kwenye masuala haya ya talaka.
Kwa kawaida mgawanyo wa mali kwenye talaka huwa unagusa mali zile tu ambazo ni 'Chumo la Ndoa,'(Matrimonial Property). Kama Mwanandoa wa kike naye alichangia kwenye suala la upatikanaji wa mali husika, sioni tatizo lolote lile na yeye akipewa Haki yake katika mchakato mzima wa mgawanyo wa mali wakati wa talaka.
Mkuu umeenda mbali sana, yaani nkwamba ukioa una sota sana na unakuwa ktk risk.Yaan ukiachilia mbali suala la imani, tamaduni, suala la kuzeeka na kuugua kuishi bila kuoa kuna nafuu. Otherwise iwe kuoana kwa mkataba wa miaka michache michache sio full kugandana.Wanaume wengi tunapenda kusema...oa upate free K, hakuna cha free K wala papuch, ukibisha mkiachana unadaiwa mali 50/50 Wakati kazini alikuwa akienda mwanaume.
Unaporudi home unajipimia hadi uridhike, mkiachana unalipia mabao yote😂😂😂
Hapana mkuu hapo haihitaj maombi ukiona moja haikai mbili haikai nkumove-on. Coz kwa mawazo kama hayo. Mtakuja kutuloga bure kwa hao manabii wenu.Mh cjui kama umenielewa mkuu jibu haliendani na mjadala ulikoanzia...nilichokuwa namaanisha ni wewe uko kazini unalipwa haijalishi unafanya mpaka overtime lakini unalipwa pesa unatimiza mahitaji yako,ya familia yako kwa ujumla kwenu pia vipi yeye anaefanya kazi zisizo na malipo hapewi hata pesa ya mahitaji yake binafsi...angekuwa mfanyakazi wa ndani ungekuwa unatoa unamlipa si ndio?kwa nini kwa mkeo inakuwa ngumu kumpa motisha au mpaka aombe?akati wewe si ajabu boss wako anakulipa motisha ukiwa kazini kwako.
Hivi ugumu unayoka wapi kumpa pesa ya mahitaji yake kama kusuka losheni nguo za ndani na mehitaji mengine kama hayo lakini vimada wa huko nje wanamwagiwa pesa bila kuombwa ..kwa kweli kuna wanaume wanahitaji Maombi ya kitaifa kuwakomboa kutoka fikra kandazimizi dhidi ya wanawake
Bora hata nyie ndoa zikiwatesa mnabaki third planet mkivuta oxygen, wanaume wanateseka na kutangulia outerspace.Mwingine hata hicho kipato kukitafuta hataki ndugu..kuna wanawake wanapitia magumu ndani ya ndoa hadi huruma..mwisho wa siku ndo kama hivo maoni ya wadau unayaona kwamba huna ulichochangia
Kwa wewe binafsi unavyoona ni kwa nini huyo mwenza wako asipate mgawo kutoka kwenye hiyo Ardhi uliyonunua huko Mkoa A?Hiv kwa mfano mimi niko mkoa A na mke wangu yuko mkoa B,uku mkoa A nikanunua viwanja na mashamba nikawa na miradi yangu siku mambo yamekuwa tofauti je hivi vya mkoa A atapata mgao?
da!!!!!,,,nina uhakika,,,mpaka kufika mwaka 2030 wanaume watagopa kuoa,,,,,na mpaka sasa nilishuhudia jamaa yangu akigawa kadi za mchango wa harusi,,,lakini wanaume wengi tulikuwa tunamuuliza {NAONA UNAJITAFUTIA MATATIZO na MISUKOSUKO},,,na wengi we2 ndoa zilishavunjika!!!Wakili Fatma Karume ameamua kuweka wazi kesi yake ya talaka mahakamani ambapo katika ugawaji mali mahakama imempa 75% dhidi ya 25% kwa upande wa mtalaka aliyekuwa mume wake.
Kinachonishangaza ni mwanaume kutaka Fatma Karume asizingatiwe kwa haki sawa wakati yeye ndiye aliyechangia zaidi katika kutafuta mali!
Hii kesi inaonyesha pia kwa nini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wanaharakati, wasomi na walio smart.
View attachment 3248257
View attachment 3248258
TRUEKuna funzo hapa.
Wanandoa tarajali kusainiana Mikataba ya Kusajili Mali zao (Pre-nuptial Contract) ni muhimu sana katika maisha ya Sasa.
Pre-nuptial Contract will help to avoid the problem of the Marriage Conemanship in case of divorce like this.
Ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba kiuhalisia Wanaume wenyewe huwa wanakuwa chanzo cha matatizo yote haya ya wao kutapeliwa au kudhulumiwa mali zao kwenye masuala haya ya talaka.
Kwa kawaida mgawanyo wa mali kwenye talaka huwa unagusa mali zile tu ambazo ni 'Chumo la Ndoa,'(Matrimonial Property). Kama Mwanandoa wa kike naye alichangia kwenye suala la upatikanaji wa mali husika, sioni tatizo lolote lile na yeye akipewa Haki yake katika mchakato mzima wa mgawanyo wa mali wakati wa talaka.
Hapo chachaIla kuna watu wana roho ngumu. Yaani kabisa unaenda kuoa Fatuma Karume? Kama anabishana na serikali na vyama, wewe utapona?
Ndio mambo ambayo Trump hayataki hayo,eti mwanamke anaolewa leo halafu baada ya miezi kadhaa mbele anaomba talaka halafu na Mahakama inampa umiliki nusu ya mali za mume ambazo zingine alizipata hata kabla hajamuoa huyo mwanamkewasenge tu, mwanamke hata akiwa anapika ugali na kuangalia tamthilia tu nyumbani mkiachana mahakama inataka apewe 50% ya mali zote.
Pre-nuptial Contract ndio suluhisho la matatizo yote haya. Kwa kupitia Mikataba ya Pre-nuptial, kila Mtalaka atavuna kile tu alichopanda. Mali ambazo Mwanandoa alizitafuta akiwa peke yake Kamwe huwa haziingizwi kwenye mgawanyo wa mali pale Wanandoa wanapoachana.Ndio mambo ambayo Trump hayataki hayo,eti mwanamke anaolewa leo halafu baada ya miezi kadhaa mbele anaomba talaka halafu na Mahakama inampa umiliki nusu ya mali za mume ambazo zingine alizipata hata kabla hajamuoa huyo mwanamke
Trump ni nani kwenye ndoa za watu??Ndio mambo ambayo Trump hayataki hayo,eti mwanamke anaolewa leo halafu baada ya miezi kadhaa mbele anaomba talaka halafu na Mahakama inampa umiliki nusu ya mali za mume ambazo zingine alizipata hata kabla hajamuoa huyo mwanamke
Mi sijui ila we unaonaje?Trump ni nani kwenye ndoa za watu??