Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Ndio wanawake tujitambie kwa kutafuta kipato na si kutegemea mwanaume 💯. Utakula kuona.Tena ukute kasoma huyo mwanamke angeitumia elimu yake kufanya kazi walau wazazi wapate chochote kitu ..si ajabu kahairisha kufanya kazi mbali mbali na familia analea baba na watoto still anachukuliwa poa poa tu ..Mungu awashushie wanaume neema ya kutambua mchango wa mwanamke hasa hawa wanaume wa kiafrika Mungu awe upande wao kwa kweli