Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Ndio wanawake tujitambie kwa kutafuta kipato na si kutegemea mwanaume π―. Utakula kuona.Tena ukute kasoma huyo mwanamke angeitumia elimu yake kufanya kazi walau wazazi wapate chochote kitu ..si ajabu kahairisha kufanya kazi mbali mbali na familia analea baba na watoto still anachukuliwa poa poa tu ..Mungu awashushie wanaume neema ya kutambua mchango wa mwanamke hasa hawa wanaume wa kiafrika Mungu awe upande wao kwa kweli
Wanahesabia kurombwa kilasiku mkuu...hawajui kuwa mnakaa mpaka mwezi bilabilaπ₯΄π€wasenge tu, mwanamke hata akiwa anapika ugali na kuangalia tamthilia tu nyumbani mkiachana mahakama inataka apewe 50% ya mali zote.
Sidhani kama sheria inasema mnagawana 50/50. Kila mmoja anapata kutokana na mchango wake. Hayo ya 50/50 sujui mnayatoa wapi.Hapo naunga mkono hoja.Na ikitokea Mwanaume amechangia zaidi nae apewe hiyo hiyo 75% badala ya 50/50 inayotumika Sasa.
Mwisho yaani Kuna mtu alioa huyo Fatma? π€ͺπ€ͺπ€ͺ
Hata za kikiristo zinavunjika vizuri tu. Hakunaga ndoa sijui ya mpaka kifo, hiyo ni dhana tu.Punguza Uoga mzee uzuri ndoa za Kislamu hazina Ujinga wa wa Till death do us apart, Ivo usiogope
Si ndio hapo. Kila mkataba una kipengele cha kuvunjika. Tena siku hizi ndio mambo yamekuwa tafrani.Kwanini usitarajie wakati uwezekano upo?
Mwingine hata hicho kipato kukitafuta hataki ndugu..kuna wanawake wanapitia magumu ndani ya ndoa hadi huruma..mwisho wa siku ndo kama hivo maoni ya wadau unayaona kwamba huna ulichochangiaNdio wanawake tujitambie kwa kutafuta kipato na si kutegemea mwanaume π―. Utakula kuona.
Dr kwanza alifurahi kuachana naye.....wala alikuwa hana nia ya kuwa naye.huyu fatwa ni much know sana tila tila nyingiJamaa alioa Fatma akijua anaoa familia ya kitajiri, asijue anaoa dume tu pale.
ππIla kuna watu wana roho ngumu. Yaani kabisa unaenda kuoa Fatuma Karume? Kama anabishana na serikali na vyama, wewe utapona?
HATARIII..wasenge tu, mwanamke hata akiwa anapika ugali na kuangalia tamthilia tu nyumbani mkiachana mahakama inataka apewe 50% ya mali zote.
Syo fatma, huyo ni kuchonga 24/7wanawake wanaharakati wakiwa nyumbani mbona ni watu wakawaida tu mkuu
Maisha yamebadilika sana ,inabidi wanawake nao waende na mabadiliko. Kuwa mama wa nyumbani bila kipato ni kubweteka, na ukiendekeza mwanaume utakuja kuumia baadae. Nina ndugu zangu wa 2 walikuwa mama wa nyumbani, wanatia huruma sana baada za waume zao kufa. Hawajui waanzie wapi , ada za watoto, chakula na kodi ya pango. Waulme zao walikuwa wana kipato kizuri wakabweteka ,sasa hivi wanateseka.Mwingine hata hicho kipato kukitafuta hataki ndugu..kuna wanawake wanapitia magumu ndani ya ndoa hadi huruma..mwisho wa siku ndo kama hivo maoni ya wadau unayaona kwamba huna ulichochangia
piga machineSyo fatma, huyo ni kuchonga 24/7
Haha π mwanaume lazima ule kona
Ova
Hakuna romantic pale sema chochote...Halafu unaweza kukuta Fatma yuko romantic sana, ni nyiwe tu wanaume msiojiamini na uoga wenu.
Kuna wanaume hawataki wake zao wafanye biashara au waajiriwe mimi hao ndo nawapa nondo zaoMaisha yamebadilika sana ,inabidi wanawake nao waende na mabadiliko. Kuwa mama wa nyumbani bila kipato ni kubweteka, na ukiendekeza mwanaume utakuja kuumia baadae. Nina ndugu zangu wa 2 walikuwa mama wa nyumbani, wanatia huruma sana baada za waume zao kufa. Hawajui waanzie wapi , ada za watoto, chakula na kodi ya pango. Waulme zao walikuwa wana kipato kizuri wakabweteka ,sasa hivi wanateseka.
Wanahisi Mambo ni marahisiMifumo ya mashoga, mwanaume rijali hawezi support huu ufala, pesa ni ngumu wazee halafu 50/50
Yeah hata mimi nimegundua hilo alijua akioa mtoto wa Rais atakuwa na Bima ya maisha kumbe ndio kazidi kuyakanyagaJamaa alioa Fatma akijua anaoa familia ya kitajiri, asijue anaoa dume tu pale.
Wapumbavu kweliπWanasema alipokua anaangalia series za kihindi alikua analinda nyumba ππ