Ni ubabaifu mwanaume kulilia mali za mwanamke katika talaka. Kesi ya talaka ya Fatma Karume ina masomo muhimu sana

Unasema ukwelii, naunga mkono hoja yako.
Wanaume wengi tunapenda kusema...oa upate free K, hakuna cha free K wala papuch, ukibisha mkiachana unadaiwa mali 50/50 Wakati kazini alikuwa akienda mwanaume.

Unaporudi home unajipimia hadi uridhike, mkiachana unalipia mabao yote😂😂😂
 
Aisee. Hiyo ''pili-nyuto kotati'' ni muhimu sana kwa maisha ya sasa japo siielewi. Wenye kujua huyu mdudu tafadhali sana watuezee ili vidume tupate makombora ya kuwapiga upande wa pili
 
Wadau naomba kuuliza, hiv kati ya wanaume na wanamke ni akina nani wanapenda au hutamani sana kufunga ndoa? na kwanini? na akina nani wanaona ndoa zinawatesa?
 
M
Mkuu umeenda mbali sana, yaani nkwamba ukioa una sota sana na unakuwa ktk risk.Yaan ukiachilia mbali suala la imani, tamaduni, suala la kuzeeka na kuugua kuishi bila kuoa kuna nafuu. Otherwise iwe kuoana kwa mkataba wa miaka michache michache sio full kugandana.
Hapana mkuu hapo haihitaj maombi ukiona moja haikai mbili haikai nkumove-on. Coz kwa mawazo kama hayo. Mtakuja kutuloga bure kwa hao manabii wenu.
 
B
Mwingine hata hicho kipato kukitafuta hataki ndugu..kuna wanawake wanapitia magumu ndani ya ndoa hadi huruma..mwisho wa siku ndo kama hivo maoni ya wadau unayaona kwamba huna ulichochangia
Bora hata nyie ndoa zikiwatesa mnabaki third planet mkivuta oxygen, wanaume wanateseka na kutangulia outerspace.
 
Ilitakiwa iwe 50/50

Yani pasu kwa pasu
akate rufaa hajatendewa haki mbona wao wanadai haki sawa!
 
Kwamba tamu kwenu Chungu kwetu, Kwetu tamu chungu kwenu. Ila Binadamu🙌
 
Hiv kwa mfano mimi niko mkoa A na mke wangu yuko mkoa B,uku mkoa A nikanunua viwanja na mashamba nikawa na miradi yangu siku mambo yamekuwa tofauti je hivi vya mkoa A atapata mgao?
 
Hiv kwa mfano mimi niko mkoa A na mke wangu yuko mkoa B,uku mkoa A nikanunua viwanja na mashamba nikawa na miradi yangu siku mambo yamekuwa tofauti je hivi vya mkoa A atapata mgao?
Kwa wewe binafsi unavyoona ni kwa nini huyo mwenza wako asipate mgawo kutoka kwenye hiyo Ardhi uliyonunua huko Mkoa A?
 
da!!!!!,,,nina uhakika,,,mpaka kufika mwaka 2030 wanaume watagopa kuoa,,,,,na mpaka sasa nilishuhudia jamaa yangu akigawa kadi za mchango wa harusi,,,lakini wanaume wengi tulikuwa tunamuuliza {NAONA UNAJITAFUTIA MATATIZO na MISUKOSUKO},,,na wengi we2 ndoa zilishavunjika!!!
 
TRUE
 
wasenge tu, mwanamke hata akiwa anapika ugali na kuangalia tamthilia tu nyumbani mkiachana mahakama inataka apewe 50% ya mali zote.
Ndio mambo ambayo Trump hayataki hayo,eti mwanamke anaolewa leo halafu baada ya miezi kadhaa mbele anaomba talaka halafu na Mahakama inampa umiliki nusu ya mali za mume ambazo zingine alizipata hata kabla hajamuoa huyo mwanamke
 
Pre-nuptial Contract ndio suluhisho la matatizo yote haya. Kwa kupitia Mikataba ya Pre-nuptial, kila Mtalaka atavuna kile tu alichopanda. Mali ambazo Mwanandoa alizitafuta akiwa peke yake Kamwe huwa haziingizwi kwenye mgawanyo wa mali pale Wanandoa wanapoachana.
 
Ndio mambo ambayo Trump hayataki hayo,eti mwanamke anaolewa leo halafu baada ya miezi kadhaa mbele anaomba talaka halafu na Mahakama inampa umiliki nusu ya mali za mume ambazo zingine alizipata hata kabla hajamuoa huyo mwanamke
Trump ni nani kwenye ndoa za watu??
 
Huyu aliyekuwa mme wa fatwa hakuwa na njaa kivile...talaka tu kupata kwake inatosha tena kautwisha mzigo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…