Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

Bwana Mayalla umeanza kujisifia kuwa ulipata A ya Constitution pale UDSM afu ukasema unachoongea wewe ni authority.

Umenishangaza sana kurefer katiba ya CHADEMA na Katiba ya JMT bila kusema ni articles gani specifically unanzingumzia.Hii A yako ya Constitution inatia mashaka sana na au unajaribu kutuaminisha hao walimu wako uliowataja wana walakini.

Umesema CHADEMA ni chama majanga kwa kurefer namna watendaji CHADEMA wanavyokiuka hicho ulichokiita Katiba Yao.Sasa najiuliza tatizo hapo ni CHADEMA au hao watendaji! Hvi hiyo A yako haikukusaidia kuelewa kutofautisha Watendaji na miongozo?

Lastly, Bwana Mayala na henge lako unalonasibishwa nalo ni mara ngapi katiba ya nchi inakiukwa lkn hiyo haifanyi nchi kuwa majanga!?
 
Paschal,
Jana ulijadili kuhusiana na wale 19 including Mh. Halima Mdee ukaeleweshwa.
Leo umekuja na mjadala kuhusiana na cheo Cha Bawacha....Sasa unataka tujadili taratibu za kumvua uongozi kiongozi ambae ni Bawacha?
Je wale wabunge 19 unakubaliana na CHADEMA kuwa wamevuliwa kwa kufuata taratibu? Hapo tutajadili namna ya kuwaondoa Bawacha na Bavicha na n.k

Japo sijajua Siri iliyojificha kwenye CHADEMA upande wako kwani nguvu unayotumia ni zaidi ya maslahi yako kwa Ndugai na Prof Assad Ex CAG
 
Wanabodi,
Kwanza sio kila kitu ni siasa, vitu vingine ni hoja za kikatiba, Sheria, taratibu na kanuni.

Ukileta hoja specific, hakuna ubaya kujifagilia ubobezi wako katika eneo husika.

Mimi Paskali Mayalla ni Mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea, ila pia nilisomea sheria, LL.B, UDSM, ile kutua tuu UDSM, siku ya kwanza kipindi cha Kwanza ni LW 101, unajua mwalimu wangu wa kwanza kabisa UDSM ni nani?... ni Dr. Tulia Akson!.

Prof. Issa Gulamhussein Shivji na Palamagamba Kabudi, walitufundisha LW. 200 ndio yenye Katiba, nilifumua A, utadhani mtihani nilikuwa natunga mimi!. Hivyo kwenye hoja hii ya Katiba ya Chadema, mimi naizungumza as an authority.

Katiba ni kakitabu kadogo tuu, ila kukaelewa ni shughuli. Kabla ya chama chochote cha siasa kusajiliwa ni lazima kiwasilishe katiba yake kwa Msajili wa vyama, ipitiwe na wataalamu wa katiba, wajiridhishe kuwa iko sawa na inaendana na katiba ya nchi.

Hivyo hata Chadema, iliposajiliwa kwa mara ya kwanza ile 1992, iliwasilisha katiba fulani amaizing iliyokuwa nzuri kabisa, yenye kipengele cha ukomo wa uongozi mwisho ni vipindi viwili vya miaka 5 na mwanachama wa Chadema alikuwa huru kuitafuta haki yake mahakamani.

Mwaka 2006, Chadema wakafanya marekebisho ya Katiba na kuyasilisha ofisi ya msajili wa vyama, na ikakubaliwa.

Nilipoipitia katiba hiyo ya Chadema ya 2006, nikakuta kile kipengele cha ukomo wa uongozi, hakipo!, kimenyofolewa kinyemela!. Nilipokiulizia kipengele hicho humu jf, Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Slaa alinishukikia vilivyo na kukanusha kuwa Chadema halikuwahi kuwa na kipengele hicho!.

Hii maana yake ni hata Katibu Mkuu Chadema, alikuwa haijui Katiba ya chama chake!. Kama Katibu Mkuu ambaye ndie custodian wa katiba ya Chadema, haijui katiba hiyo, what do expect kwa the rest of the people?.

Baada ya Dr. Slaa kunishukia, aliyeninusuru ni JJ. Mnyika kukiri kifungu hicho kilikuwepo na sasa hakipo sio kuwa kimenyofolewa!, no!, bali ni hakikujadiliwa kabisa hivyo kikayeyuka tuu into thin air!

Katiba hiyo ya 2006 pia ikapenyeza kifungu ambacho kinakwenda kinyume cha katiba ya JMT kumzuia mwanachama wa Chadema kwenda mahakamani, akienda tuu ndio amejifukuzisha Chadema!.

Tukija kwenye hoja za bandiko hili ambazo mimi nimeziita Chadema ni ubatili, ubatili ubatili mtupu mpaka basi!. CC ya CDM haina mamlaka kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha, kwasababu sio mamlaka yake ya nidhamu, CC hiyo ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumjadili na kumfuta uanachama Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee?!.

Mamlaka sahihi ya nidhamu ya Mwenyekiti wa Bawacha ni Baraza Kuu, kwenye kikao cha juzi cha Baraza Kuu la Chadema, kuna mtu yoyote alisikia likijadil mashitaka yoyote ya Halima Mdee?. Ilichofanya Baraza Kuu ni kubariki maamuzi yale batili ya CC ya Chadema. Kitendo cha Baraza Kuu, kurudhia kuvuliwa uanachama wa Halima Mdee, Baraza Kuu lilipata wapi mamlaka hiyo?!.

Katiba ya Chadema ipo na imeweka taratibu na kanuni za mamlaka ya nidhamu, kwanini hazifuatwi?. Sasa vitu vidogo tuu na straight kama hivi vinawashinda hawa jamaa, jee ingetokea watu kama hawa ndio wameshinda uchaguzi na kuikalia Ikulu yetu si ni ingekuwa ni majanga?. Kwa lugha nyingine, inawezekana Chadema ni Chama Majanga ila tuu watu walikuwa hawajui, hivyo mitikisiko kama hii ndio itawaonyesha wengine maeneo yenye matundu na jinsi nyumba yao inavyovuja.

Kama Chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwa huku bara, jee tunaupinzani wowote wa kweli ambao ni serious, capable, credible, na reliable, wenye the ability and the capabilities wa kuiondoa CCM madarakani?!.

Paskali
Takataka wewe huna lolote, blood Jiwe
 
Brother P kwaelewa Chadomo ni kazi sana , lile ni kundi la vilaza wenye uthubutu wa kupambana, haiweze kama mkuu wa chama kufeli shule kwa kuzungusha zero aje awe mbadala wa CCM kusaidia taifa ,

CHADEMA kifutwe tu

USSR
Futa maaaaa yako, Basi Kama kufuta Ni kuzuri
 
Cha msingi cha

Nafikiri chadema ilishafanya maamuzi, Kama akina Halima Mdee wanataka Ubunge hapo ni CCM wataamua maana Bunge ni la kwao, kuhusu uanachama chadema haiwataki.
 
Paskali, wewe kwa kugombea tu kule Kawe umepoteza moral authority (tofautisha na legal authority) ya kuongelea masuala ya cdm kama member wa ccm...
Sasa linganisha ccm yako walivyowatimua Lowasa, Sofia Simba, Membe na wengine... je ushuauri wako huu uliwagusa ccm pia ? Achana na habari za cdm...wao wana taratibu zao hata kama huzipendi...zitabaki kuwa ni taratibu zao za ndani...

Hizi habari za wewe kufundishwa na Tulia Ackson ambaye hata machapisho yake ya phd hayako kwenye internatinal journals zenye impact factor Walau ya 4-5 (mfano Thompson Reuters, havard, Oxford etc) hazihusiani na wewe ku-justify bandiko lako... wewe kama mwandishi wa habari, huwezi shabikia watu kugushi barua harafu eti wawe viongozi wetu siku zijazo... ilikuwa na maana gani Magu/jiwe kuwatimua vyeti feki na wewe kushabikia magumashi ya C.19? Unawafundisha nini watoto wako Paskali? Kugushi kunakubarika? kutofuata sheria, kanuni na miongozo hata ya familia yako ni sawa? kama ni kweli, humo ndani ya nyumba yako ni mshike mshike, labda kama mkeo hasomagi humu, angesoma , hata kinyama ugomvi ingekuwa chanzo cha mjadara mzito ndani ya nyumba yako...mimi na wewe sote ni wa kanda ya ziwa na magumashi hatupendi kwa hurka zetu. Tafadhari,simamia maadili na taaluma yako kaka...

CDM wameweka wazi, hawaku-sign forms za tume kwa c19 kwenda huko bungeni, mbona huulizi, nani aliye wa-signisha hao c19...? Yaani tatizo walitengeneze wenyewe halafu waombe kusikilizwa kama sio uzwazwa maana yake ni nini kama sio extreme insanity.
Waambieni Watanzania ukweli- nani ali forge, lini, wapi na kwa maslahi ya nani... Chama ni masharti ikiwemo kufukuzwa ukikiuka masharti, ya nini kulia lia? Tumia kalam yako na mazawo vizuri kama ... kuna mwisho siku ya safari...
 
Ifike mahali tuheshimu taratibu na sheria tulizojiwekea!

Yani kabisa Pascal Mayalla kwa usomi huo na majigambo ya kutuonesha umefundishwa na nani unaamini kabisa wapinzani CHADEMA wamefanya KOSA KUBWA la kwanza na sio WALIOFUKUZWA kama wakosaji wa kwanza katika saga hii?

Kunanyakati mtu unafikia kutokusoma andishi la mtu flani kwa sababu ya kuwa na mitizamo ambayo hujaribu kupaka mafuta kinyesi!
Hajasema wamefanya kosa kuwafukuza

Amesema hawajazingatia utaratibu wa katiba yao wenyewe

Fukuza lakini zingatia utaratibu
 
Wanabodi,
Kwanza sio kila kitu ni siasa, vitu vingine ni hoja za kikatiba, Sheria, taratibu na kanuni.

Ukileta hoja specific, hakuna ubaya kujifagilia ubobezi wako katika eneo husika.

Mimi Paskali Mayalla ni Mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea, ila pia nilisomea sheria, LL.B, UDSM, ile kutua tuu UDSM, siku ya kwanza kipindi cha Kwanza ni LW 101, unajua mwalimu wangu wa kwanza kabisa UDSM ni nani?... ni Dr. Tulia Akson!.

Prof. Issa Gulamhussein Shivji na Palamagamba Kabudi, walitufundisha LW. 200 ndio yenye Katiba, nilifumua A, utadhani mtihani nilikuwa natunga mimi!. Hivyo kwenye hoja hii ya Katiba ya Chadema, mimi naizungumza as an authority.

Katiba ni kakitabu kadogo tuu, ila kukaelewa ni shughuli. Kabla ya chama chochote cha siasa kusajiliwa ni lazima kiwasilishe katiba yake kwa Msajili wa vyama, ipitiwe na wataalamu wa katiba, wajiridhishe kuwa iko sawa na inaendana na katiba ya nchi.

Hivyo hata Chadema, iliposajiliwa kwa mara ya kwanza ile 1992, iliwasilisha katiba fulani amaizing iliyokuwa nzuri kabisa, yenye kipengele cha ukomo wa uongozi mwisho ni vipindi viwili vya miaka 5 na mwanachama wa Chadema alikuwa huru kuitafuta haki yake mahakamani.

Mwaka 2006, Chadema wakafanya marekebisho ya Katiba na kuyasilisha ofisi ya msajili wa vyama, na ikakubaliwa.

Nilipoipitia katiba hiyo ya Chadema ya 2006, nikakuta kile kipengele cha ukomo wa uongozi, hakipo!, kimenyofolewa kinyemela!. Nilipokiulizia kipengele hicho humu jf, Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Slaa alinishukikia vilivyo na kukanusha kuwa Chadema halikuwahi kuwa na kipengele hicho!.

Hii maana yake ni hata Katibu Mkuu Chadema, alikuwa haijui Katiba ya chama chake!. Kama Katibu Mkuu ambaye ndie custodian wa katiba ya Chadema, haijui katiba hiyo, what do expect kwa the rest of the people?.

Baada ya Dr. Slaa kunishukia, aliyeninusuru ni JJ. Mnyika kukiri kifungu hicho kilikuwepo na sasa hakipo sio kuwa kimenyofolewa!, no!, bali ni hakikujadiliwa kabisa hivyo kikayeyuka tuu into thin air!

Katiba hiyo ya 2006 pia ikapenyeza kifungu ambacho kinakwenda kinyume cha katiba ya JMT kumzuia mwanachama wa Chadema kwenda mahakamani, akienda tuu ndio amejifukuzisha Chadema!.

Tukija kwenye hoja za bandiko hili ambazo mimi nimeziita Chadema ni ubatili, ubatili ubatili mtupu mpaka basi!. CC ya CDM haina mamlaka kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha, kwasababu sio mamlaka yake ya nidhamu, CC hiyo ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumjadili na kumfuta uanachama Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee?!.

Mamlaka sahihi ya nidhamu ya Mwenyekiti wa Bawacha ni Baraza Kuu, kwenye kikao cha juzi cha Baraza Kuu la Chadema, kuna mtu yoyote alisikia likijadil mashitaka yoyote ya Halima Mdee?. Ilichofanya Baraza Kuu ni kubariki maamuzi yale batili ya CC ya Chadema. Kitendo cha Baraza Kuu, kurudhia kuvuliwa uanachama wa Halima Mdee, Baraza Kuu lilipata wapi mamlaka hiyo?!.

Katiba ya Chadema ipo na imeweka taratibu na kanuni za mamlaka ya nidhamu, kwanini hazifuatwi?. Sasa vitu vidogo tuu na straight kama hivi vinawashinda hawa jamaa, jee ingetokea watu kama hawa ndio wameshinda uchaguzi na kuikalia Ikulu yetu si ni ingekuwa ni majanga?. Kwa lugha nyingine, inawezekana Chadema ni Chama Majanga ila tuu watu walikuwa hawajui, hivyo mitikisiko kama hii ndio itawaonyesha wengine maeneo yenye matundu na jinsi nyumba yao inavyovuja.

Kama Chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwa huku bara, jee tunaupinzani wowote wa kweli ambao ni serious, capable, credible, na reliable, wenye the ability and the capabilities wa kuiondoa CCM madarakani?!.

Paskali
Mzee paskal unajishushia hadhi nowdayz hujawahi kuisemea mema CHADEMA !!
Hivi ccm mabadiliko yaliyolazimishwa na mwendazake ktk Katiba yao umewahi kuyachambua humu !!!
Au kwakuwa jiwe alikuwa mkandaziwa mwenzako ???
Kuna namna ulitendeana na CHADEMA sirini ipo siku utasema , punda akikaribia kufa hupiga mateke.....
 
Mkuu ilikuwa haiwezekani ku cite, kupiga picha au hata kuweka screenshot za hivyo vipengere ulivyovitaja vya katiba yao badala ya kutusimulia?
 
Paschal, Lugha sahihi pale Mlimani kwa wale tuliokaa pale Mlimani tunasema Kupiga Msonge na Sio Kupiga A!
 
Wewe Pascal hujitambui ni njaa kali tuu zinakusumbua hata Magufuli alijua hilo kabla hajafa alikupa makavu kuwa jina lako linaswadifu njaa.

Unalalamika utafikiri mke wa tatu yaani wew mzee vipi? Hakuna mwana Chadema anaye lalamikia KATIBA yao iweje leo wewe ujivike huruma hiyo?

Unasema KATIBA ya Chadema haina ukomo wa mwenyekiti ni wapi ktk KATIBA ya Chama chako CCM imeweka kipengengle Cha ukomo wa mwenyekiti au nafasi ya mwenyekiti taifa kugombewa na kila mwanachama?

Kwa namna mlivyo kuwa mkishadadia Magufuli aongezewe Muda asingeingilia Mungu angefaniikiwa kuongezewa muda kwa KATIBA ya CCM ni kuwa Rais ndiye mwenyekiti wa Chama taifa na kwa hali hiyo Magufuli angekuwa mwenyekiti wa CCM milele bila Kenge yeyote Kama wewe Paschal kufanya fyoko fyoko yeyote.

Sasa huko ccm Pascal hakuna uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti taifa mbona hiyo demokrasia huilili huko ktk Chama chako? Chadema wanafanya uchaguzi na kila mwanachama anaruhisiwa kugombea wewe unataka ukomo wa kuongoza kwa Mbowe kwa niini?
Mbona huulizi CCM ni lini hiyo nafasi ya uenyekiti taifa itagombewa na kila mwanachama?

Paschal Kama unajiita ni msomi Basi ni msomi Juha na mjinga sana. Ni fedheha na aibu kwa Chuo ulicho soma na walimu walio kufundisha kwa uelewa huu. Unaamini kuwa demokrasia ni kuwekeana muda wa kuongoza na sio kuwa ni mfumo unao ruhusu watu kuchagua mtu wampendae.
Pascal anaomesha ujuha wa hali ya juu Sana na Kama na yeye ni msomi basi ni afadhali ya Msukuma std7.
 
Back
Top Bottom