Ni uduni na ufinyu wa mawazo kuvibeza vyuo vikuu vingine kwa misingi ya ubora usio wa kimantiki!

Asiyejua impact ya UDSM hapa Africa mashariki na Africa kwa ujumla ndio mvivu
 

yap!! U r right jamaa!! That z how we supporsed 2b in this forum!! Co majungu na kuumbuana!! Ni hayo tu.
 
mtoa uzi huu inaonekana ulikuwa unaiota UDSM ila baada ya kuchaguliwa teku,unajuta sana,piga kitabu ww dogo
 

safi sana mwambie kama ananisha tuweke vitu hapa pitia web ya udsm wameweka namba ya form 4 ya waliochaguliwa then chek performance yao uje utuambie ndo vichwa. Elimu ya chuo haina wa kwanza wala wa mwsho ni kujitambua tuu else utadisco kama kawa ma sap kibao. Acha kushusha vyuo vingine elimu bila practical hata uwe na point 3. Hutambuliki. Jifunze kwa vitendo uoneshe ulichosoma na siyo kubeza vyuo vingine
 
Unaweza ukawa prof ukashindwa kudeliver material kwa wanafunzi. Pia hao maprof 25 mnaojidaia na kuwazungumzia ud c ndo haohao wanaozunguka na ku part time vyuo vingine sasa tofauti iko wapi? Hapo tofauti yake labda jina

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Si vyema kubaguana kwa kuzngatia vyuo,hata hvyo ni ukweli usiopingika kuwa UDSM,SUA,MZUMBE na UDOM ni vyuo bora nchini sio kama Saint something.Na huu ndyo ukweli.
 
Si vyema kubaguana kwa kuzngatia vyuo,hata hvyo ni ukweli usiopingika kuwa UDSM,SUA,MZUMBE na UDOM ni vyuo bora nchini sio kama Saint something.Na huu ndyo ukweli.
:A S-key::A S-key::A S-key::A S-key:
mmefungwa akil watoto wadog hamjui maisha yanasemaje huku,
 
Tena na huku umekuja kubisha????!!!!

Hebu weka alternative sasa maana wewe ni muumini wa "UDOM ni chuo cha kata"

Kaka na ww unamiini hivyo?
Mi najua chuo ulichosoma hakikusaidii chochote when it comes to performance
Bidii yako inahitajika sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…