Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Koh koh koh!!Kwenye urafiki wa jinsia tofauti hasa kwa vijana kadri mnavyozidi kuwa na ukaribu na kuzoeana kuna mmoja huanza kujenga hisia za kimapenzi na akifunguka ndio mwanzo wa urafiki kuyumba.
Hii ilinikuta, nilitokea kuanza kumpenda yule dada nikawaza itakuaje na anajua maujinga yangu mengi sana, nikawaza nikimwaga sera ntaharibu kila kitu nikabinu mbinu kumteka na zikafanikiwa.
Wanawake huwa mnajiskiaje mkikumbatiwa kwa style hii ya pichani?
View attachment 3069472