4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kuwaelimisha kaz ipo , so jamii za kikristu zisiwasaidie? ndio maana urusi hajisumbuiJiulize Irani jina lake kamili ni?
Jamhuri ya Kiislam ya Iran. Sasa utamlaumuje Kiongozi wa nchi inayojiita ya Kiislamu kuongea na Waislamu wengine
Ni sawa na kumlaumu Papa ambaye ni mtawala wa Vatican kutoa wito kwa Wakiristu duniani kuside na Wanyonge wanaokandamizwa!