fuatilia usiwe zezeta wa propaganda za hawa waislam , Kamsikilize Moasab Yosef aliyekuwa mtoto wa kiongoz wa hamas , hv walichofanya hamas uliona ni kitendo cha kukichekea ? ni nchi gan ingekaa kimya kwa kile kitendo ? kama Kenya aliivamia Somalia kisa watalii wasiozid 20 je jiulize vifo vya watu 260 na mateka juu na bado wanaendeleza mashambuliz , je ulitaka israeñ wafanyaje?
Nkurudishe kwenye historia , kuanzia miaka 1861 waisrael walianza kurudi hapo na hawakuchangamana na wapalestina bali walienda maeneo ya chini kabisa na kununua maeneo kisha wakawa wanalima na baadae kujenga viwanda kufikia mwaka 1948 mkoloni wa hilo eneo alipotangaza uhuru basi waisrael wakajitangazia uhuru kwa maeneo waliyokwepo na sio maeneo ya wapalestina na hayo maeneo yapo maandiko/vitabu vingi vya wafasiri waliowai pita hapo wanasema hawakukuta mtu yalikuwa mapori yenye magofu tu na makaburi ya kale ya waisrael , hivyo baada ya waisrael kujitangazia uhuru kwenye kiardhi kidogo sana ukilinganisha na lile la wapalestina , waisrael wakaanza pata wageni ktk yale maeneo ambao walikuwa wanadai pale ni kwao na waisrael hawaba haki ya kuwepo pale , wkt huu wapalestina walikuwa na eneo krb robo tatu ya ardhi yote iliyoachiwa huru na uingereza na israel alikuwa na karobo tu ambacho kalikuwa mabonden , basi wapalestina wakasahau kuapambaba kujenga nchi na wakaja na agenda ya kuwatoa waisrael hapo ili wabakie wao kwenye eneo lote ( UBINAFSI HUU , Mbona South Africa hakutaka wameza Lesotho na Swaziland ? Mbona sisi waafrika hatukutaka kuwafukuza waarabu wa afrika kaskazini sababu waliua mababu zetu na kukamata yale maeneo ya kaskazin ).
Mwaka 1948 Waarabu na wapalestina wakaivamia Israel ila kibaya wakapigwa na ili Israel awepo salama ilimbidi apore maeneo ya majiran walioshiriki kumvamia maana israel ilikuwa mabonden so ilikuwa nyepes wao kupigwa au kupoteza vita incase wakivamiwa ghafla , Hali hii waarabu wamekuwa wanaifanya kwa waisrael mara kwa mara na badala ya kuleta matumaini kwa wapalestina , ndo wapalestina wamekuwa wanapoteza maeneo zaid , Je hapa wakulaumiwa nan ?
Shida kuu ya Israel ni amani nchi zote za kiarabu na kwa wapelestina walishapewa option 2 , moja ni kuunda taifa moja ila wapalestina walikataa , na la pili ni kila mtu awe na taifa lake lkn Wapalestina waitambue Israel kama taifa huru na hii pia wapelestina walikataa.
Malengo makuu ya wapalestina ni kuwaondoa waisrael hapo na sio kuish nao kwa amani , mtu wa karne ya 21 unapata ujasiri wap wa kusapoti watu wa namna hii ? hawa ni wabaguzi , tukianza kuwa na akili hz basi watu wengi itabidi waondolew katika maeneo mengi sana dunian .
Kibaya zaidi waaabu au wapalestina au washirika wengine ndo wamekuwa wanaanza ivamia israel , hivyo mara zote Israel amekuwa analazimishwa kuingia vitan akiwa hajajipanga na ili kumtisha mvamizi lzm apige mapigo mazito ili iwe hofu kwa mvamiz na tulivyo na akili za kulala tunahukumu tu anaejibu ila hatuoni huyu ambaye yupo duniani na ajui nini anatakiwa afanye , miaka 75 sasa wapalestina hawana hata fikra za kuunda nchi yao badala yake wamekuwa watumwa wa waarab na waajemi kwenye vita dhidi ya israel , je kama ni wewe ungewafanyaj majiran wa hv ?