Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

Wapi hiyo imeandikwa?

Israel haitambui ukristo Wala uislam Zionist wao kipaombele Chao ni Judaism,

Na Wala HUWEZI shangaa alivyolipua baptist church hospital hapo Gaza.

Sasa niambie,unambariki vip MTU anaemwaga damu YAKO?

nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Mwanzo 12:3
 
Hao ni Wakristo wasiojitambua, wanashindwa kuelewa utume wa Yesu Kristo ulimwenguni. Kwamba Yesu alikuja kwa ajili ya ukombozi wa wanadamu wote wakiwemo hao wayahudi na wapalestina. Ni ujinga kudhani Mungu yupo kwa ajili ya Waisrael tu.

Kumbuka ni hao hao wayahudi waliomuua Yesu na laana hiyo ya kumkataa Masihi ndo ilipelekea Yerusalem kuharibiwa mwaka 70A.D na jemedari Tito wa dola ya Rumi iliyokuwa inaitawala Israel Kama koloni lake.

Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi.
Yohana 4:22
 
Hao ni Wakristo wasiojitambua, wanashindwa kuelewa utume wa Yesu Kristo ulimwenguni. Kwamba Yesu alikuja kwa ajili ya ukombozi wa wanadamu wote wakiwemo hao wayahudi na wapalestina. Ni ujinga kudhani Mungu yupo kwa ajili ya Waisrael tu.

Kumbuka ni hao hao wayahudi waliomuua Yesu na laana hiyo ya kumkataa Masihi ndo ilipelekea Yerusalem kuharibiwa mwaka 70A.D na jemedari Tito wa dola ya Rumi iliyokuwa inaitawala Israel Kama koloni lake.

Walimkataa ila yesu aliuliwa na serikali ya warumi,soma historia vzr.
 
Ila ni akili kufurahia na kuunga mkono mauaji ya Jumamosi ya tarehe 7? Familia za Israel xilipovamiwa na Hamas na kuuawa na kutekwa?

Je ni sahihi kufurahia mauji ya watu waluokuwa wanaendesha magari yao wasio kuwa na Silaha kuuawa na Hamas?

Je ni sahihi kufurahia mauaji ya watoto wa ki Israel na kuwekwa kwenye Cage kama kuku? Huku wakirekodiwa na kudhihaki.

Je ni Sawa kubaliki kauli zinazotolewa na mataifa ya uarabu kuifuta Israel katika uso wa Dunia?

Vuta picha kama Israel isingekuwa na Irone Dome je leo Israel ingekuwepo? kwa kuzingatia idadi ya makombora yaliyorushwa na Hamas?

Je? Makombora yaliyokuwa yanarushwa kwenda Israel yakazuiliwa na Irone Dome yalikuwa yanalenga military object?

Hakuna anayekubali mauaji ya binadamu, lakini mlitaka Israel akae kimya apigwe tu?

Africa wanakufa watu wangapi kwaajili ya vita? Tumewahi andika nyuzi za kuumia na kulaani kwa kiwango hiki yanayotokea Congo, Somalia, msumbiji, sudan na Nigeria? Au kwasababu ni wa Africa tunaona ni Sawa wao kufa na kuuawa, vifo vya mataifa ya Africa vina tofauti gani na Israel na Palestinians?

Ukweli ni mchungu kuwa kuna dini zinafundisha chuki na ndio chanzo cha ugaidi,

To all that above what are the military target anticipated by Hamas?

It is true kwamba even war has rules, but in battle field things are vice versa.

Wacha OPERATION IRON SWORD IFANYE KAZI KWANI WASIPOJITETEA WATAFUTWA KATIKA USO WA DUNIA.

GOT IT?

You are talking about it like all of these things just started tarehe 7?

IDF kwani kuua wapelestine imeanza Leo?au kwani Hadi HAMAS inaanza kujiform na kuanza operation zake hujui kuwa chanzo chake ni Retaliation kwa forceful occupation ambayo IDF imekuwa inaendelea kuifanya??

So, Israel ndiyo pekee yenye Haki ya kuua wapelestine, wapelestine wakijibu mashambulizi wao ni magaidi siyo?

Au unataka wawe na siasa kama za Yasser Arafat au Mahmoud Abbas,watu wanauawa wao wanataka negotion table ambayo haijawahi zaa matunda na illegal occupation ikiendelea na vifo vikiongezeka siyo?

Dunia haiwezi kuwa hivyo.
 
Friends and Enemies,

Al Ahl Baptist church ni hospital ya kanisa ambayo imeanza operation Gaza tokea mwaka 1882,Hospital hiyo imeanzishwa na Church Mission Society Of England kipindi Hiko inatawala Gaza ,baada ya ukoloni 1954 hadi 1982 na kuendelea hospital hiyo imekuwa inaendeshwa na Episcopal church in Jerusalem ikitoa huduma za tiba Kwa wapelestine wakristo,waislam na wengine wengi waishio maeneo Hayo.

Hakuna justification ya aina yoyote katika kuua watu wasio na hatia bila kujali kuwa watu hao ni either WAPALESTINA au WAISRAEL au RACE ya aina yoyote ile,it's just plain and Crystal Clear that it's wrong.

Recently tumeona IDF wakishambulia hospital hiyo huko Gaza na muda mfupi baadae kukana kutohusika na shambulio Hilo ili Hali kila ushahidi unaonekana kuwa ni wao na Sasa wanajutia.

I will never understand this society,soma comments mitandaoni humu,even hapa JF na kwingine watu wanashangilia na kusema Israel ni Taifa la Mungu,hao wapelestine wameanzisha ugomvi wasiouweza so wauwawe tuh hao waislam.

Ndiyo kusema kwamba watu wanadhani kuwa wapelestine ni waislam? thinking that hakuna wakristo na watu wengine ambao wanauawa katika mgogoro huo?

HAMAS imechagua military strategy kama vile ambavyo IDF imechagua Military strategy katika occupation of Land,tukichagua kukemea umwagaji wa damu katika mgogoro huo basi tukemee Hilo on both sides,na kama wazo la two states solution ndiyo litaonekana kuwa ndiyo muaraboini basi jumuiya ya kimataifa Ingepaswa kuweka mkazo katika Hilo.

Damu ya kila mwanadamu Ina thamani haijalishi Imani yake, rangi yake wala asili yake.
Acha mipalestina iuawe, kwanini waanzishe ugomvi wasio kuwa na ubavu nao? Ua kima hao
 
nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Mwanzo 12:3
Sasa, which is which,ilitakiwa maneno hayo wa kwanza kuyafuata wawe hao wenyewe Wana wa Israel, sasa wewe hujiulizi why wao walikataa neno Hilo na kumkataa hadi na Jesus Christ?

Hawakumuamini,na hadi Leo hawamtaki,wao ni Judaism ndiyo Imani Yao kuu,yana maana Gani maandiko hayo kama hata wahusika wanaosemwa wabarikiwe hawayataki??

Hilo linahitaji hata kwenda kindargatten school kulielewa?
 
Israel sasa yashambulia makanisa baada ya kushambulia Misikiti na hospitali Ghaza​

Friends and Enemies,

Al Ahl Baptist church ni hospital ya kanisa ambayo imeanza operation Gaza tokea mwaka 1882,Hospital hiyo imeanzishwa na Church Mission Society Of England kipindi Hiko inatawala Gaza ,baada ya ukoloni 1954 hadi 1982 na kuendelea hospital hiyo imekuwa inaendeshwa na Episcopal church in Jerusalem ikitoa huduma za tiba Kwa wapelestine wakristo,waislam na wengine wengi waishio maeneo Hayo.

Hakuna justification ya aina yoyote katika kuua watu wasio na hatia bila kujali kuwa watu hao ni either WAPALESTINA au WAISRAEL au RACE ya aina yoyote ile,it's just plain and Crystal Clear that it's wrong.

Recently tumeona IDF wakishambulia hospital hiyo huko Gaza na muda mfupi baadae kukana kutohusika na shambulio Hilo ili Hali kila ushahidi unaonekana kuwa ni wao na Sasa wanajutia.

I will never understand this society,soma comments mitandaoni humu,even hapa JF na kwingine watu wanashangilia na kusema Israel ni Taifa la Mungu,hao wapelestine wameanzisha ugomvi wasiouweza so wauwawe tuh hao waislam.

Ndiyo kusema kwamba watu wanadhani kuwa wapelestine ni waislam? thinking that hakuna wakristo na watu wengine ambao wanauawa katika mgogoro huo?

HAMAS imechagua military strategy kama vile ambavyo IDF imechagua Military strategy katika occupation of Land,tukichagua kukemea umwagaji wa damu katika mgogoro huo basi tukemee Hilo on both sides,na kama wazo la two states solution ndiyo litaonekana kuwa ndiyo muaraboini basi jumuiya ya kimataifa Ingepaswa kuweka mkazo katika Hilo.

Damu ya kila mwanadamu Ina thamani haijalishi Imani yake, rangi yake wala asili yake.
Upo sahihi mkuu, hii vita ni mwendelezo tuu wa ubeberu wa magharibi kupitia Israel dhidi ya Wapalestina wanyonge.

Inasikitisha sana kuona 'Arab league' imebakia kimya.

Au unataka wawe na siasa kama za Yasser Arafat au Mahmoud Abbas,watu wanauawa wao wanataka negotion table ambayo haijawahi zaa matunda na illegal occupation ikiendelea na vifo vikiongezeka siyo?
Sasa hii ya kutumia nguvu ndio matokeo yake haya mabaya sana. Wanaoteseka ni raia wasio na hatia kwa strategy za kipumbavu za hamas.
 
Upo sahihi mkuu, hii vita ni mwendelezo tuu wa ubeberu wa magharibi kupitia Israel dhidi ya Wapalestina wanyonge.

Inasikitisha sana kuona 'Arab league' imebakia kimya.

Arab league haiwez fanya chochote Kwa sababu ya maslahi ya kiuchumi...

Mind that serikali ya marekani Jews Wana Influence kubwa sana, that's why unaona support kubwa Israel anaipata kutoka Kwa USA na nchi za ulaya.

Ila ukweli dunia inaufahamu.
 
Israel Siyo Taifa la kuchezea hiyo ni kutokana na fikra zako.

Unapozungumza vitu tumia basi japo ubongo ili ueleweke, before 1948 na tukio la holocaust, Hitler alivyopanga kuangamiza Hiko kizazi choote dunia ilikua pamoja na Jews kama wanadamu wenzao kutokana na attrocities zile walizofanyiwa..

Unaposema eti siyo Taifa la kuchezea,Sasa taifa lipi Lina Haki ya kuchezewa?

Linapokuja suala la uhai binadamu wote ni sawa tuh

Sio ya kuchezea maana mwenyewe umejionea walichokifanya baada ya ujinga wenu, leo mnaanza kulialia mkitafuta kuhurumiwa.
 
Acha uchonganishi hakuna anayefurahia mtu akitolewa uhai ila mbona ulikuwa kimya walipouwawa waisraeli au kisa ni wa kristo

Unaona Sasa,nani kakuambia WAISRAEL ni wakristo?

Mimi siwezi kufurahia muisraeli kuuliwa,hata hao wapelestine waliouliwa hapo hospital tambua kuwa wakristo wapo pia...ila Israel dini Yao ni Judaism na siyo ukristo.
 
You are talking about it like all of these things just started tarehe 7?

IDF kwani kuua wapelestine imeanza Leo?au kwani Hadi HAMAS inaanza kujiform na kuanza operation zake hujui kuwa chanzo chake ni Retaliation kwa forceful occupation ambayo IDF imekuwa inaendelea kuifanya??

So, Israel ndiyo pekee yenye Haki ya kuua wapelestine, wapelestine wakijibu mashambulizi wao ni magaidi siyo?

Au unataka wawe na siasa kama za Yasser Arafat au Mahmoud Abbas,watu wanauawa wao wanataka negotion table ambayo haijawahi zaa matunda na illegal occupation ikiendelea na vifo vikiongezeka siyo?

Dunia haiwezi kuwa hivyo.
Nakuelewa sana mkuu tena sanaaaaaa. Lakini haya mauaji yanayotokea leo huko Gaza kama isingekuwa issue ya uvamizi wa Hamas je leo tungezungumza haya?
 
Unaona Sasa,nani kakuambia WAISRAEL ni wakristo?

Mimi siwezi kufurahia muisraeli kuuliwa,hata hao wapelestine waliouliwa hapo hospital tambua kuwa wakristo wapo pia...ila Israel dini Yao ni Judaism na siyo ukristo.
Binadamu ni binadamu tu bossy kusemea dini unakosea so ishi kwa kuishi sio kwa kukariri
 
Sio ya kuchezea maana mwenyewe umejionea walichokifanya baada ya ujinga wenu, leo mnaanza kulialia mkitafuta kuhurumiwa.

Wewe hutokuja uelewe, tambua wanaoumia na wewe ukishangilia wapo wakristo wenzako pia,nani umeiona anatia HURUMA??

Unashangaza sana, bomu unaambiwa limepigwa kwenye hospital ya kanisa,Sasa iweje unasema Mimi natia huruma?natia huruma kisa waislam wenzangu wameuliwa au wapelestine wameuliwa??

Nachokueleza unaposhangilia,basi utambue waliokufa siyo waislam pekee,na ndug zako wakristo wapo pia...
 
Binadamu ni binadamu tu bossy kusemea dini unakosea so ishi kwa kuishi sio kwa kukariri

That's right,kwanza nimekueleza WAISRAEL siyo wakristo.

Pili nimekueleza WAISRAEL wamepiga bomu katika hospital inayomilikiwa na wakristo wapelestine,na siyo waislam.

Tatu nakueleza kuwa hakuna anaeshangilia MAUAJI,ila tunachokuelza Israel imekuwa inayafanya hayo tokea creation ya Taifa Hilo mwaka 1948,Hamas imeanza mwaka 1987 baada ya kuona umwagaji damu ya Israel umekuwa hauna mwisho kwao tambua Hilo.
 
Wewe hutokuja uelewe, tambua wanaoumia na wewe ukishangilia wapo wakristo wenzako pia,nani umeiona anatia HURUMA??

Unashangaza sana, bomu unaambiwa limepigwa kwenye hospital ya kanisa,Sasa iweje unasema Mimi natia huruma?natia huruma kisa waislam wenzangu wameuliwa au wapelestine wameuliwa??

Nachokueleza unaposhangilia,basi utambue waliokufa siyo waislam pekee,na ndug zako wakristo wapo pia...

Ndio maana nikasema acheni kuwachokonoa wale watu, maana wanapojibu mashambulizi yenu wanapiga bila kuchagua mnasababisha na watu wa madhehebu mengine waliopo katikati yenu wanaumia, mjifunze kukaa kwa amani na madhehebu yote acheni kulazimisha ugomvi kwa kila dhehebu.

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Back
Top Bottom