Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

Nakuelewa sana mkuu tena sanaaaaaa. Lakini haya mauaji yanayotokea leo huko Gaza kama isingekuwa issue ya uvamizi wa Hamas je leo tungezungumza haya?
Uvamiz wa HAMAS?

Hamas imeundwa 1987,IDF ipo hapo miaka na miaka inamwaga damu na kufanya illegal occupation of Land ya wapelestine, Sasa nani hapo kavamia?

Yani mtu anaejilinda kutokana na vitendo vya kuuliwa unamuita mvamizi na Gaidi?
 
Baptist church ni kanisa ambalo Dr Martin Luther King Jr, mtetezi wa haki za watu weusi na binadamu kiumla alikuwa akihudumu kiroho
 
Walimkataa ila yesu aliuliwa na serikali ya warumi,soma historia vzr.
Waksaema , msulubishee, msulubishee, wakamwambia Pilato tufungulie baraba badala yake , wakaendelea kusema "Na damu yake iwe juu yetu na vzazi vyetu"..
Unabariki watu waliojiapiza kwa damu ya Yesu laana iwe nao na vizazi vyao?
 
Shida upande wenu ni wakipumbavu ndo maana watu wenye akili wakaa kimya. Kiongozi wa kidini wa iran anasema waislam wote waungane na palestina badala ya kusema Dunia iungane na palestina, hamas nao wanasema waislam waungane kupigana na Israel
 
Ndio maana nikasema acheni kuwachokonoa wale watu, maana wanapojibu mashambulizi yenu wanapiga bila kuchagua mnasababisha na watu wa madhehebu mengine waliopo katikati yenu wanaumia, mjifunze kukaa kwa amani na madhehebu yote acheni kulazimisha ugomvi kwa kila dhehebu.

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”

Huo ndo ujinga wenyewe tunaousema Sasa,Kwa watu wenye akili Zao timamu wakisoma wanaona kabisa unaonekana chizi, mgogoro huo ni WA ardhi au wa dini?

Wapi WAISRAEL wamekuambia wanapigana na uislam ?Umekazana kuqoute hivyo vifungu vyako ukiamini kuwa unaweza justify unachokizungumza,hizo siyo Aya za. Quran,na fabrications tuh na zipo kibao mtandaoni hata ukigoogle unaziona na kucopy na kupaste,Tena siyo hizo tuh,zipo hadi ambazo zinauhusisha uislam na mambo mengine meengi ya hovyo watu wanatengeneza,Sasa wewe kuzichukua hizo na kuziweka hapa ni kuzidi kuonesha ujinga wako tuh Kwa watu wanaotambua.

Andika kwamba Qur an verse flan,sura flan unasema hivi na hivi na hivi ili tuone unaelewa kweli Hiko unachokisema,ila ukifanya HIVYO maana yake ni kudhihirisha ujinga wako tuh
 
Hao Israel mnaowakataa Nako kumejaa waislam, USA,FRANCE Nako waislam wapo wakutosha kinachowatofautisha ni elimu tu mwingine ana elimu Dunia na dini mashariki ya kati wengi wana elimu madrasa na elimu vurugu
 
Shida upande wenu ni wakipumbavu ndo maana watu wenye akili wakaa kimya. Kiongozi wa kidini wa iran anasema waislam wote waungane na palestina badala ya kusema Dunia iungane na palestina, hamas nao wanasema waislam waungane kupigana na Israel

Sasa Kuna shida gan Kwa mfano akisema waislam woote waungane na wapelestine??

Mind that katika wapelestine Kuna wakristo pia? ameonesha ubaguz hapo?

Mimi nilidhan ungechukia kama angesema waislam wote waungane na wapelestine wakristo,hivi tatizo nini hasa
 
Huoni shida hapo kwanini ajumlishe jamii Moja ya dini ya kiislam wakati hadi pale palestina Kuna wakristo
 
Friends and Enemies,

Al Ahl Baptist church ni hospital ya kanisa ambayo imeanza operation Gaza tokea mwaka 1882,Hospital hiyo imeanzishwa na Church Mission Society Of England kipindi Hiko inatawala Gaza ,baada ya ukoloni 1954 hadi 1982 na kuendelea hospital hiyo imekuwa inaendeshwa na Episcopal church in Jerusalem ikitoa huduma za tiba Kwa wapelestine wakristo,waislam na wengine wengi waishio maeneo Hayo.

Hakuna justification ya aina yoyote katika kuua watu wasio na hatia bila kujali kuwa watu hao ni either WAPALESTINA au WAISRAEL au RACE ya aina yoyote ile,it's just plain and Crystal Clear that it's wrong.

Recently tumeona IDF wakishambulia hospital hiyo huko Gaza na muda mfupi baadae kukana kutohusika na shambulio Hilo ili Hali kila ushahidi unaonekana kuwa ni wao na Sasa wanajutia.

I will never understand this society,soma comments mitandaoni humu,even hapa JF na kwingine watu wanashangilia na kusema Israel ni Taifa la Mungu,hao wapelestine wameanzisha ugomvi wasiouweza so wauwawe tuh hao waislam.

Ndiyo kusema kwamba watu wanadhani kuwa wapelestine ni waislam? thinking that hakuna wakristo na watu wengine ambao wanauawa katika mgogoro huo?

HAMAS imechagua military strategy kama vile ambavyo IDF imechagua Military strategy katika occupation of Land,tukichagua kukemea umwagaji wa damu katika mgogoro huo basi tukemee Hilo on both sides,na kama wazo la two states solution ndiyo litaonekana kuwa ndiyo muaraboini basi jumuiya ya kimataifa Ingepaswa kuweka mkazo katika Hilo.

Damu ya kila mwanadamu Ina thamani haijalishi Imani yake, rangi yake wala asili yake.
Nakupa maua yako.Katika comment bora bac na hii ni miongoni.Kwanza hakuna Mkristo mwenye kushabikia vita hata kama wamechokozwa.Mkristo wa kweli anapambana kwa kutii sio kurusha ngumi.Akupigaye shavu la kushoto mgeuzie na la kuume.Sasa wanaoshabikia mpalestina kuuawa na Israel eti kisa Israel kachokozwa huyo ni Mkristo wa kujiita.
 
Nyie dawa yenu ni CHINA tu mnatengenezewa Kambi ya kamera juu na hakuna chombo Cha habari Cha china kuripoti habari sababu wanajua kwa population ya china mkifanya vurugu kudhibiti itakuwa ngumu
 
Huoni shida hapo kwanini ajumlishe jamii Moja ya dini ya kiislam wakati hadi pale palestina Kuna wakristo

Sasa ukitaka afanye nini? mufti anaweza Simama Na kutamka kuwa wakristo na waislam wote muungane na wapelestine?si yataanza maneno Tena kwamba why atusemee sisi na hali ya kuwa sisi tuna kiongoz wetu tunaemsikiliza na kumtii?
 
Shida upande wenu ni wakipumbavu ndo maana watu wenye akili wakaa kimya. Kiongozi wa kidini wa iran anasema waislam wote waungane na palestina badala ya kusema Dunia iungane na palestina, hamas nao wanasema waislam waungane kupigana na Israel
Jiulize Irani jina lake kamili ni?
Jamhuri ya Kiislam ya Iran. Sasa utamlaumuje Kiongozi wa nchi inayojiita ya Kiislamu kuongea na Waislamu wengine
Ni sawa na kumlaumu Papa ambaye ni mtawala wa Vatican kutoa wito kwa Wakiristu duniani kuside na Wanyonge wanaokandamizwa!
 
Sasa ukitaka afanye nini? mufti anaweza Simama Na kutamka kuwa wakristo na waislam wote muungane na wapelestine?si yataanza maneno Tena kwamba why atusemee sisi na hali ya kuwa sisi tuna kiongoz wetu tunaemsikiliza na kumtii?
Angesema kwa Dunia kwa pamoja tulaani vita ya Israel angepungikiwa Nini? Hizi standard zenu ndo zinawafanya watu wasiwazingatie
 
Nyie dawa yenu ni CHINA tu mnatengenezewa Kambi ya kamera juu na hakuna chombo Cha habari Cha china kuripoti habari sababu wanajua kwa population ya china mkifanya vurugu kudhibiti itakuwa ngumu
Either elimu yako ni finyu sana,au umri wako ni mdogo kias huwezi kuwa na upeo wa kuelewa vitu,pole sana.
 
Jiulize Irani jina lake kamili ni?
Jamhuri ya Kiislam ya Iran. Sasa utamlaumuje Kiongozi wa nchi inayojiita ya Kiislamu kuongea na Waislamu wengine
Ni sawa na kumlaumu Papa ambaye ni mtawala wa Vatican kutoa waito kwa Wakiristu duniani kuonea kuside na Wanyonge wanaokandamizwa!
Kwanini asinge sema Dunia kwa ujumla ilaani vita hiyo asingetaja dini Kuna vitu hata kama ni mwanadini inabidi usiweke udini
 
It seems ana upeo finyu sana,Bora kumuacha na fikra zake aishi nazo.
 
Kwanini asinge sema Dunia kwa ujumla ilaani vita hiyo asingetaja dini Kuna vitu hata kama ni mwanadini inabidi usiweke udini

Sawa,umeshinda Mkuu.

Uko sahihi, kiongozi amekosea yule, wewe uko sahihi.
 
Back
Top Bottom