kuwaelimisha kaz ipo , so jamii za kikristu zisiwasaidie? ndio maana urusi hajisumbuiJiulize Irani jina lake kamili ni?
Jamhuri ya Kiislam ya Iran. Sasa utamlaumuje Kiongozi wa nchi inayojiita ya Kiislamu kuongea na Waislamu wengine
Ni sawa na kumlaumu Papa ambaye ni mtawala wa Vatican kutoa wito kwa Wakiristu duniani kuside na Wanyonge wanaokandamizwa!
umekimbilia kwenye umri?Either elimu yako ni finyu sana,au umri wako ni mdogo kias huwezi kuwa na upeo wa kuelewa vitu,pole sana.
Kwani Kuna kosa waislam wakiwaunga mkono wapelestine?kwann utaje dini , kwan ni mgogoro wa kidini huo?
umeshindwa jibu hoja zako , dini yenu inawafunga akili , anachokuambia jamaa ni sahihi sema mshafundishwa ubishi huez elewaIt seems ana upeo finyu sana,Bora kumuacha na fikra zake aishi nazo.
kuwaelimisha kaz ipo , so jamii za kikristu zisiwasaidie? ndio maana urusi hajisumbui
nyiny watu kichwan huwa watupuSawa,umeshinda Mkuu.
Uko sahihi, kiongozi amekosea yule, wewe uko sahihi.
ukisema dunia unakuwa hujawahusisha waislam? dini umeletewa lkn umekuwa mjing kuliko mweny dini [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani Kuna kosa waislam wakiwaunga mkono wapelestine?
Hata HIVYO wapelestine Kuna waislam na wakristo,Kuna kosa wakiwaunga mkono
taifa teule ndo taifa la dini gan?SI mnasema ni Taifa Teule la Mungu,umebadili Sasa?teh teh
Wewe mkiristo unafurahia waislamu kuuliwa. Lkn jua vita hivi mwisho ushindi upo kwa waislamumtapigwa popote pale mtakapojificha , mm mkristu ila naunga mkono piga makanisa kama hamas anatumiwa kama kinga
msaada umepitia wap ?Urusi Iko kule na ishapeleka misaada Palestine,haufuatilii kinachoendelea?
Unaishi dunia Gani kwani.
Nikujibu nini Sasa,naww kwako Israel ni Taifa Teule la Mungu.umeshindwa jibu hoja zako , dini yenu inawafunga akili , anachokuambia jamaa ni sahihi sema mshafundishwa ubishi huez elewa
ww mpuuz trh 7 oct nliona unashangilia humu , ww hata huyo mudi atakuhukum kwa huu unafiki wako labda ni kichaa , maana uliambiwa humu kuwa majibu yatakuwa mazito , ukaendelea kukenua leo ndo akili zimekukaa ?Wewe mkiristo unafurahia waislamu kuuliwa. Lkn jua vita hivi mwisho ushindi upo kwa waislamu
kamsikilize Mosab Yosef uelew mlivyofungwa akili , hapa nmetoka kuangalia documentary ya Imad wa kiKurd alitekwa na IS , ukipatq muda kafuatilie uone uovu wa hivyo vikundi mnavishabikia kisa waislam wenzenu , huko mashariki ya kati wanapitia mateso kisa hivyo vikundiNikujibu nini Sasa,naww kwako Israel ni Taifa Teule la Mungu.
msaada umepitia wap ?
mnajuwa kutunga maneno , sijawai ona sehem wanasema myaudi ni mungu , ndio maana mlidanganywa eti Mwamposa aliuza mchanga kwa tsh 1000 kwa siku moja tu mpk akapata 900M akajenga hoteli [emoji23][emoji23][emoji23] dini yenu na ujinga ni pete na kidoleTHE BIG SHOW
Ikiwa mtu kisha-kufuru kwa kuamini myahudi ndiyo mungu wake, sasa huyo utamwambia nini akuelewe?
Qur'an 2:6. Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.6
Hakika Faiza, hakika Allah hakosei...THE BIG SHOW
Ikiwa mtu kisha-kufuru kwa kuamini myahudi ndiyo mungu wake, sasa huyo utamwambia nini akuelewe?
Qur'an 2:6. Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.6
[emoji23][emoji23][emoji23] ww ni kilaza mpk ss ndo wamekubaliana misaada kuingia msaada gan wa urus umeingia gaza ? unahisi wote wavaa vipedo?Hilo pia unataka nikuambie Mimi, seems huelewi chochote na nashangaa Sasa unajadili kitu Gani na hujui kinachoendelea,teh teh teh...
Nchi hii Ina kazi SANA.
mnajuwa kutunga maneno , sijawai ona sehem wanasema myaudi ni mungu , ndio maana mlidanganywa eti Mwamposa aliuza mchanga kwa tsh 1000 kwa siku moja tu mpk akapata 900M akajenga hoteli [emoji23][emoji23][emoji23] dini yenu na ujinga ni pete na kidole
[emoji23][emoji23][emoji23] ww ni kilaza mpk ss ndo wamekubaliana misaada kuingia msaada gan wa urus umeingia gaza ? unahisi wote wavaa vipedo?