Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?


Dunia iishe kisa ushoga rudi nyuma kipind cha utumwa ile haikua dalili ya mwisho wa dunia?
 
Umeongea mengi sana..kiukweli hii ni kazi ya yule muovu shetani..kwenda kinyume na Mungu ili kuweza kuangamiza ulimwengu kwa maovu.

Kimsingi hali ilipofikia ni kila mtu arudi kwenye misingi ya kiimani hasa ngazi ya familia.

#MaendeleoHayanaChama
 

Nadhani kuna haja ya kujua chanzo cha mtu kuwa shoga au msagaji. Is it hereditary kuwa wanazaliwa hivyo kutokana na genes za wazazi wao au ni kitu [ aquired ] wanachojifunza through association? Tukijua chanzo nadhani we can be in a good position to address the issues and find solutions if any!!
 
Una sababu kuna matajiri ni Mashoga wengine ni mawakili
 
Anaetegemea kuoa hii mbuzi Kisha imzalie watoto wazuri wa kiume afanye awezavyo amiliki bastola mapema kabisa.
 
Anaetegemea kuoa hii mbuzi Kisha imzalie watoto wazuri wa kiume afanye awezavyo amiliki bastola mapema kabisa.
....hahahaaaaa nyie ndio mnaona mtoto wa kiume akiwa shoga,mama ndio awe blamed, stupid. incase ukikosa bastola, kuna Mapanga,Fyekeo,Mundu,Visu,Nyundo,
 
teh teh teh
Sikutegemea mtu kama wewe uje na majibu mepesi kabisa kama haya
 
teh teh teh
Sikutegemea mtu kama wewe uje na majibu mepesi kabisa kama haya
Wewe kusema majibu yangu ni mepesi ndiyo jibu jepesi.

Kwa sababu hujasema wepesi wake uko wapi tuuchambue.

Na kwa sababu hiyo, hujaweza kuweka mwanya wa kuthibitisha kama majibu yangu ndiyo mepesi au wewe kusema majibu yangu ndiyo mepesi bila kuonesha wepesi wake uko wapi ndiyo majibu mepesi yenyewe.
 
umekosa kazi mkuu
hawanaga msimamo hao watu
 
Teh teh teh
 
nimepaza sauti siukubali kabisa......tuishie hapo mkuu.... 😎
Umeujadili lakini, na kama kuujadili ni kuukubali, na wewe umeukubali.

Kama kweli kuujadili ni kuukubali, na wewe hutaki kuukubali, ungekaa kimya tu.

Unaelewa kwamba kila uki comment kwenye thread, thread hiyo inapanda juu kabisa kwenye thread zenye comment mpya?

Hivyo, uko sawa kabisa, ku comment kwenye thread ya ushoga literally ni kuupandiasha juu ushoga hapa JF.

Contradiction.
 
Ni kweli hamuoni shida kwa sababu hawaingilii maisha yetu ila wameamua kujifanya sisi shida iko kwenu maana wanawachafulia jinsia
 
....hahahaaaaa nyie ndio mnaona mtoto wa kiume akiwa shoga,mama ndio awe blamed, stupid. incase ukikosa bastola, kuna Mapanga,Fyekeo,Mundu,Visu,Nyundo,
Sasa kwa kichwa Kama chako Nani wa kulaumiwa
 
Siishi Mbagala wala Mikocheni, hata ningekuwa naishi huko sidhani kama ninge allow mtu kunitreat more or less of a person!..Na siwachukulii pia watu wanaoishi huko more or less of a person...peace! ✌️
Ok, peace✌️
 
nimekuelewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…