Kwa nini unafikiri wanawake wana msimamo mmoja?Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka. Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo...
Sasa kama ni watamu tutawaachajeNyinyi Ndio muache kuwalala
Sehemu gani imeonesha mleta mada anafikiria hivyo wewe unasema?Kwa nini unafikiri wanawake wana msimamo mmoja?
Ok...kumbe mnabonga story naoMashoga wapo aina nyingi, kama unaongelea wale wanaume wanaotembea na wanaume wenzao.. (gay)..wengi unakuta wanakua kama wana feminine personality, anapenda kuvaa vitu vya kike, kupaka make up, kutengeneza kucha,nywele etc... sasa tunakuaga nao inakua kama unavyokua na shosti wako tu..mnashare interests..hakuna lingine ndugu...
God created us equal..love one another!
Mna matatizo ya akiliSasa kama ni watamu tutawaachaje
Shemela una hatari sanaSisi hatuna shida sana nyie ambao mnajifanya hamuambatani não lakin mnalala nao kwenye mahoteli ndio tuwahoji maana mkiacha hizo tabia za kuwalala wanawezaebadilika
Kichwa cha thread kimeandikwaSehemu gani imeonesha mleta mada anafikiria hivyo wewe unasema?
Mimi naona mleta mada hana ubaguzi katika fikra ndiyo maana ameleta chaguzi A,Ba na Cha ambapo ni kiujumla.
Huyo inaonekana hana kizazi, ndio wanapigwagwa risasi haoKwahiyo hata mwanao akifika huko utaona ni kawaida tu kisa kaamua mwenyewe?
Na nyie mnaokaa nao na kubonga nao pia mna matatizo ya akiliMna matatizo ya akili
😂😂😂Na mnashare nao mabwana!?
Kwa mantiki ya kiuandishi msimamo wa wanawake kama kitu kimoja utajulikana,kulingana na upepo wa maoni ya wanawake.Kichwa cha thread kimeandikwa
Ni upi msimamo wa wanawake kuhusu swala la ushoga?
Msimamo ni mmoja.
Mleta mada kaandika kama vile wanawake wana msimamo mmoja, na wanatakiwa wauchague na kutuambia.
Ndiyo nikauliza, kwani wanawake wana msimamo mmoja kuhusu hili suala?
Hapana, msimamo wa wanawake wengi si sawa na msimamo wa wanawake.Kwa mantiki ya kiuandishi msimamo wa wanawake kama kitu kimoja utajulikana,kulingana na upepo wa maoni ya wanawake.
Kwa ufupi katika hizo chaguzi A,Ba na Cha,chaguzi yenye alama nyingi ndiyo msimamo wa wanawake kiujumla.
Hili ni suala la kijamii hivyo ni lazima kuwe na ubayana kujua asilimia kubwa ya wanawake wamesimamia upande gani.
Ni kama kupika kura katika uchaguzi mkuu.Rais kushinda kwa 50.1% na wapinzani au mpinzani kushindwa kwa 49.9%.Huyo Rais atakuwa anaongoza nchi,jamii au kikundi kizima cha watu.Kwa falsafa ya kuwa msimamo wa watu walio piga kura,kuwa yeye ndiye awe Rais.
#Maoni yangu.
Sawa,wewe unavyoona.Sipo katika huu uzi kwa ajili ya wewe ulichokianzisha (swali) kwa mleta mada.Hapana, msimamo wa wanawake wengi si sawa na msimamo wa wanawake.
Heading imeandikwa "msimamo wa wanawake", si "msimamo wa wanawake wengi".
Stop the collectivization of thoughts.
Kivipi mkuu?Dadavua.Baada ya kusoma hapa kote nimegunduwa mademu ni wabinafsi sana😀
Ningependa kujifunza kitu kutoka kwakoSisi hatuna shida sana