Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

Mashoga wapo aina nyingi, kama unaongelea wale wanaume wanaotembea na wanaume wenzao.. (gay)..wengi unakuta wanakua kama wana feminine personality, anapenda kuvaa vitu vya kike, kupaka make up, kutengeneza kucha,nywele etc... sasa tunakuaga nao inakua kama unavyokua na shosti wako tu..mnashare interests..hakuna lingine ndugu...

God created us equal..love one another!
 
Ok...kumbe mnabonga story nao
 
Sehemu gani imeonesha mleta mada anafikiria hivyo wewe unasema?

Mimi naona mleta mada hana ubaguzi katika fikra ndiyo maana ameleta chaguzi A,Ba na Cha ambapo ni kiujumla.
Kichwa cha thread kimeandikwa

Ni upi msimamo wa wanawake kuhusu swala la ushoga?​

Msimamo ni mmoja.

Mleta mada kaandika kama vile wanawake wana msimamo mmoja, na wanatakiwa wauchague na kutuambia.

Ndiyo nikauliza, kwani wanawake wana msimamo mmoja kuhusu hili suala?
 
Sawa
Binafsi huwa nawashangaa, nyie wanaume mnavyoweza kuwafanya wanaume wenzenu, kwani hamuoni vibaya,

haya unavyombenua hivyo mwenzio sasa huyo mdudu wake unakuwa wapi.

Vile mnajiona nyie ni top au head ila hiyo siyo nzuri
 
Kichwa cha thread kimeandikwa

Ni upi msimamo wa wanawake kuhusu swala la ushoga?​

Msimamo ni mmoja.

Mleta mada kaandika kama vile wanawake wana msimamo mmoja, na wanatakiwa wauchague na kutuambia.

Ndiyo nikauliza, kwani wanawake wana msimamo mmoja kuhusu hili suala?
Kwa mantiki ya kiuandishi msimamo wa wanawake kama kitu kimoja utajulikana,kulingana na upepo wa maoni ya wanawake.

Kwa ufupi katika hizo chaguzi A,Ba na Cha,chaguzi yenye alama nyingi ndiyo msimamo wa wanawake kiujumla.

Hili ni suala la kijamii hivyo ni lazima kuwe na ubayana kujua asilimia kubwa ya wanawake wamesimamia upande gani.

Ni kama kupika kura katika uchaguzi mkuu.Rais kushinda kwa 50.1% na wapinzani au mpinzani kushindwa kwa 49.9%.Huyo Rais atakuwa anaongoza nchi,jamii au kikundi kizima cha watu.Kwa falsafa ya kuwa msimamo wa watu walio piga kura,kuwa yeye ndiye awe Rais.

#Maoni yangu.
 
Hapana, msimamo wa wanawake wengi si sawa na msimamo wa wanawake.

Heading imeandikwa "msimamo wa wanawake", si "msimamo wa wanawake wengi".

Stop the collectivization of thoughts.
 
Juz natizama twita nikakutana na video za wakenya wakichakatna mwanaume kwa mwanaume mpk Sasa najuta kwann nimetazama video hyo
 
Hapana, msimamo wa wanawake wengi si sawa na msimamo wa wanawake.

Heading imeandikwa "msimamo wa wanawake", si "msimamo wa wanawake wengi".

Stop the collectivization of thoughts.
Sawa,wewe unavyoona.Sipo katika huu uzi kwa ajili ya wewe ulichokianzisha (swali) kwa mleta mada.

Kuna wengine hawajui kiingereza mkuu.
 
Back
Top Bottom