Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Habari wana jf, naomba niealetee mjadala huu nioushudia leo, kuna watu walikua wananishana, wengine wasema huyu mnyama (nguva) ni kiumbe na yupo kama viumbe wengine ila kuna mmoja na ndo alikua anaonekana na sauti kubwa alikua anabisha sana, anasema hakuna kiumbe huyo hapa duniani zile tunazoona ni picha tu, anasema ni kama vile zombie, vampire na wengine kama hao ambao kiukweli hawapo kabisa,.naomba mawazo yenu maana niliondoka na maswali mengi pale
 
Kwanza fanya editing plssssss...

Ninachofahamu mie ni kua, nguva yupo ila si kama watu wafikiriavyo kua ni samaki mtu.... hapana.
Ni samaki ambae ukimtazama harakaharaka, umbo lake ni kama binadamu ingawa yeye ni samaki kichwani mpaka mkiani. Ana tabia ya kuibuka sehemu zenye majani hivo wengi hudhani ni nywele ndefu (nguva wa kike) na pia samaki huyu ananyonyesha kama binadamu ambapo mtu akimwona nje ya maji hudhani ni mtu....
 
Mmmmh! Nakumbuka mwaka 67 or 77 nguva mmoja alivuliwa ktk bahari ya Hindi ie Zanzibar!
 
Siamini uwepo wa hawa samaki,kwa sababu moja tu: juu binadamu,chini samaki,ina maana ktk mfumo wa kupumua wanawezaje kupumua chini ya maji,wakati wana pua kama ya mwanadamu? Na macho kama ya mwanadamu? Wanakula nini ktk mazingira kama hayo? Na kama kweli wamarekani wamehifadhi nguva 7,kwa nini iwe siri? Marekani siyo kama TZ wao wana vyombo vingi mno vya habari vya kila aina ambavyo ni vidadisi sana,tungeona kwenye magazeti yao ya kimataifa kama,The News Week,na The TIMES,yakiwa na vichwa vizito vya habari kama,(Bizzare creatures found) viumbe tatanishi waonekana,kila tukisikia habari ya nguva,inakuwa maneno tu,yasiyo na uhakika,tunaonyeshwa picha tu,ambazo kwa teknolojia ya leo zinaweza tengenezwa,afadhali ingekuwa video picture tungesadiki,mambo ya kuambiwa eti utafiti ulifanyika na kweli nguva wapo,si kweli,how can a research be conducted without a thorough proof of wht was being researched? Marekani wanavyopenda sifa wawe na nguva then wawafiche,kwa lipi? Labda wanawapa technology hapo sawa.
 
2.jpg

4.jpg

(6 Aug) correspondent reported. The flow was not For the human beings behind the girl. The lower the long fins, no legs.

To be passed around the world. To be the body of a mermaid stranded on the beach, the Philippine Sea. Yet the day it came out and tells the truth to such a group. That led to believe that the photo above.

Photo sharing the same address Derived from the panned The Pirate of the Caribian which the make-up effects for the mermaid, this is not common. The craft swept into the "Oscars" for advanced techniques which have been used to make the film. And the object is already plenty scared.
 
Wewe mleta mada hili ni jukwaa la watu makini na limekuwa hivyo kwa miaka nenda rudi...

Hizi habari zenu za uzushi sijui huwa mnaziweka kwa kuwa na ufahamu mdogo au ni makusudi tu...
 
Bwana Simplemind, habari kwanza. Kupitia reaction yako, naomba nitoe wito kwa wa Tanzania tujaribu kwa na tabia ya udadisi na kujifunza. Pale tusipofahamu tukiri kwamba hatujui ili tupewe taarifa sahihi, na hilo ndilo ongezeko la ufahamu na maarifa. Mimi na umri wangu huu nakaribia miaka mia, sijawahi kumwona ila namskia kiumbe aitwaye nguva na hadith zake nyingi, mara ukiwa ziwani akatokea, akakugusa unapotea naye... n.k.

Kwa picha hii, ninategemea tutaulizana maswali mengi, tutafute source ya info hii, tuchanganue hoja ndipo tufikie conclusions. Sas vijana kubisha tu ni utapeli bila kutafuta facts, nina wasi wasi tutaendeleza kuimarisha utamaduni uliojengeka siku za hivi karibuni za kujadili bila hoja zaidi ya kufokeana na kutukanana tu na mwenye matusi mengi anaonekana kushinda.

There is always power in information. Tafuta taarifa sahihi kwanza uelewe ndipo uamue. Hujui kitu sema sijui na wala kutokujua jambo ni ujinga ambao si kosa. Ujinga unaimarika zaidi kwa ubishi na kutokutaka kutafuta taarifa sahihi za kuuondoa

Twende kazini

Oh really? Utapeli mwengine huu.
 
Wewe mleta mada peleka huu upuuzi wako facebook! Hakuna nguva anayefanana na hilo katuni lako uliloweka kwenye picha hapo juu.
Nguva hafanani na hilo karagosi lako, sio kila mnachookota kwenye internet mnatuletea humu. Mnaudhi sana aaaaghhh!
 
Bwana Simplemind, habari kwanza. Kupitia reaction yako, naomba nitoe wito kwa wa Tanzania tujaribu kwa na tabia ya udadisi na kujifunza. Pale tusipofahamu tukiri kwamba hatujui ili tupewe taarifa sahihi, na hilo ndilo ongezeko la ufahamu na maarifa. Mimi na umri wangu huu nakaribia miaka mia, sijawahi kumwona ila namskia kiumbe aitwaye nguva na hadith zake nyingi, mara ukiwa ziwani akatokea, akakugusa unapotea naye... n.k.

Kwa picha hii, ninategemea tutaulizana maswali mengi, tutafute source ya info hii, tuchanganue hoja ndipo tufikie conclusions. Sas vijana kubisha tu ni utapeli bila kutafuta facts, nina wasi wasi tutaendeleza kuimarisha utamaduni uliojengeka siku za hivi karibuni za kujadili bila hoja zaidi ya kufokeana na kutukanana tu na mwenye matusi mengi anaonekana kushinda.

There is always power in information. Tafuta taarifa sahihi kwanza uelewe ndipo uamue. Hujui kitu sema sijui na wala kutokujua jambo ni ujinga ambao si kosa. Ujinga unaimarika zaidi kwa ubishi na kutokutaka kutafuta taarifa sahihi za kuuondoa

Twende kazini

I like weird things na vile vyenye kuacha maswali kwa kuwa kwa njia hii hamu ya udadisi huongezeka na ufahamu hupanuka
 
Attachments

  • 1407674190227.jpg
    1407674190227.jpg
    11 KB · Views: 6,090
ImageUploadedByJamiiForums1407684079.141928.jpg kiumbe ambae ni adimu sana kuonekana machoni mwa watu NGUVA ameonekana amefariki katika pwani ya benini,kwa mujibu wa shirika la habari la nchi iyo ambalo lilithibitisha ilieleza wavuvi wanaovua katika kina kirefu cha maji waliibaini maiti ya kiumbe uyo wakati ikiwa imefarikiImageUploadedByJamiiForums1407684396.669244.jpg
 
Nauliza tu,hivi kuna NGUVA "mzungu" na nguva mwafrica??!!
 
Back
Top Bottom