Ni upi umri sahihi kwa mwanamke kupata mtoto wa kwanza

We nawe unatuletea habari za biblia, eti sara 🤣🤣🤣🤣 wadanganye watoto wa wenzio.

Mambo ya biblia yaache na biblia yake ndio maana kwenye biblia wafu walifufuliwa, leo hii nani anafufua wafu ? GWAJIMAAAAA 🤪🤪🤪🤪🤪🤪
 
Kanuni ni kwamba bint akisha vunja ungo tu, yupo tayar kwa azazi ! Hayo mambo ya sijui mtoto sijui miaka 18 sijui mwanafunzi hizo ni porojo za wanaharakati tu.

Na hasa wale wanao taka kulazimisha hadhi ya mwanammke ilingane na mwanaume
Hili nalo likatazamwe.
 
Mnafanya maisha kuwa magumu sana,bibi zako na mama zetu walituzaa hawana hata 100 na maisha yanaendelea kama kawa.yani uache kuzaa eti hadi Sikh utakapo pata hela usipopata Je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…