lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
Hello hello,
Kulea ni jambo zito sana sio jepesi hata kidogo, katika kulea wazazi hukutana na changamoto nyingi sana ambapo kuna wakat hadi wanajiuliza kwa nini nilimzaa huyu mtoto hasa pale mtoto anapokuwa haambiliki hasikii, hapo kiboko hutumika sana kujaribu kumuweka sawa.
Hivi ni wakati gani hasa sahihi wa kuacha kumpiga mtoto wako pale anapokuwa amefanya kosa au amefanya tofauti na vile ulivyomuagiza?
View attachment 2080336