Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu atusaidieSiku hizi matoto ukiyapiga yanakuchenjia ,huoni vifo vya wazazi siku hizi?
Umri wa kuacha kumuadhibu ni 7 kama ni muelewa kama ni mtukutu basi 12 baada ya hapo ni wa kuongea nae zaidi.Hakuna umri sahihi wa kuacha kumuadhibu mtoto. Kama atafuata taratibu na maelekezo ninayompa ataacha kuadhibiwa mapema lakini Kama atakua mkaidi ataendelea kupata kichapo hadi akili imkae sawa.
point taken kuwa na msimamo ukisema umesema hakuna kurud nyumaBinafsi mzee wangu alinifanya kuwa rafiki yake Sana, Basi aliniadhibu Mara moja tu katika maisha yangu yote ya kulelewa nyumbani na nilikuwa ni miongoni mwa watoto watundu mtaa mzima ila Wala sikuwahi kupigwa zaidi ya Mara moja ktk maisha yangu ya kulelewa na wazazi nikajikuta tayari nishabadili tabia kwani mzee alinifanya kuwa rafiki yake, baada ya kile kipigo Cha mwanzo na Cha mwisho,nikagundua kumbe mzazi akicheza karata zake vizuri anaweza kubadilisha hatima ya mtoto wake..mzee alikuwa ni mtu aliye na misimamo Sana lakini aliniweka karibu Sana na yeye,kiasi ambacho ni kawa Kama yeye tu kitabia ukiacha na tabia za vinasaba...ni vizuri wazazi hasa wa kiume ambao wanajikuta wapo busy Sana,kutenga muda zaidi kuwa karibu na watoto wao toka wakiwa wadogo tu, ili kuwapa misingi mizuri na kumuelewesha ulimwengu ulivyo.
eeh bwuana eeh utakuja kuua hapo alipo anakuogopa kama nini sasa hiviJuzi Dec nimpiga Bint yangu kipigo Cha Mbwa mwizi baada ya kujilidhisha kua amebadili alama za matokeo kwenye karatasi aloleta home. Nimepiga kiasi hata sahau kamwe. Yuko kidato Cha kwanza. Ndo kesho anaenda kitado Cha pili. Hakika nimepiga akaridia basi
Mtoto wako awe rafiki yako sio?eeh bwuana eeh utakuja kuua hapo alipo anakuogopa kama nini sasa hivi
mtoto akikuogopa atakuficha mambo yake hata ukimuuliza hatokuambia kama akikuambia atakudanganya ila akiwa rafiki yako hatokuficha kitu
Wala sitaki awe rafiki yangu. Nataka awe mtoto wangu period. Marafiki ninao. Mipaka yetu udumishweeeh bwuana eeh utakuja kuua hapo alipo anakuogopa kama nini sasa hivi
mtoto akikuogopa atakuficha mambo yake hata ukimuuliza hatokuambia kama akikuambia atakudanganya ila akiwa rafiki yako hatokuficha kitu