LOLA70
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 430
- 512
Jiulize kuna nchi kutakiwi kumchapa mtoto, wanafanyaje? Kama tangu mdogo mnaelekezana, lazima atakusikilizaKumbe kama hasikii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiulize kuna nchi kutakiwi kumchapa mtoto, wanafanyaje? Kama tangu mdogo mnaelekezana, lazima atakusikilizaKumbe kama hasikii
Sasa utamhamishaje ukimwambia Hama anakupa makonzi inabidi ukae kimya yeye anageuka baba mwenye nyumba 😃😃 Kuna mstoto manunda mzee acha kabisa.nimekupata vizuri
hapo kwenye ngumi weee hapana atahama kwa mda
Kumuadhibu mtoto maana yake hujamlea kwa usahiihi kuna sehemu ulikosea kama mzazi.Hello hello,
Kulea ni jambo zito sana sio jepesi hata kidogo, katika kulea wazazi hukutana na changamoto nyingi sana ambapo kuna wakat hadi wanajiuliza kwa nini nilimzaa huyu mtoto hasa pale mtoto anapokuwa haambiliki hasikii, hapo kiboko hutumika sana kujaribu kumuweka sawa.
Hivi ni wakati gani hasa sahihi wa kuacha kumpiga mtoto wako pale anapokuwa amefanya kosa au amefanya tofauti na vile ulivyomuagiza?
View attachment 2080336
Hongera sana mkuu.Mie mtoto akishafika miaka Saba huwa naanza kumkemea na kuongea nae tu maana ameshajua nini hapaswi kufanya na ana majukumu gani pale nyumbani.
I have two boys na Sasa wamekua mmoja 15mwingine 11 naona imesaidia. Huyu teenager ndio amekuwa kama afisa utumishi akiona mdogo wake hata suruali imeshuka lazima amkemee and he is doing well kwenye maomo na Michezo especially swimming.
So wanasema samaki mkunje angalia mbichi akikauka utamvunja tu same to watoto akikua utakuwa unapigia mbuzi gitaa.
Have some quality time with your children wawapo wadogo wafunze sana ule ni umri ambao hawapo exposed kwenye mambo mengi na ndio umri ambao wanajifunza na kushika kichwani kwa haraka zaidi, ule umri kabla ya miaka Saba , name mpaka Tisa ni umri ambao mtoto anapokea vitu na kuweka kichwani, jitahidi ukae nae halafu acha kumkemea kama mbuzi mkataze na meanie kwa nini unamkataza Tena kwa upole ili asiogope bali aelewe.
Utakuja kupiga mtoto wa miaka 17 anakupiga ngumi unaanza kulalamika anavuta bangi ,😃😃😃 utaumbuka mbele ya mkeo na akishakupiga ujue nyumba anaicontrol yeye hakuna kitu mtamfanya.
Hongera kwa kufanikisha hilo mkuu upo vizuriKumuadhibu mtoto maana yake hujamlea kwa usahiihi kuna sehemu ulikosea kama mzazi.
Fimbo haimfanyi mtoto kuepukana na kosa kwa kujua madhara yake,bali fimbo inamfanya mtoto kuepuka kosa kwa kuhofia kupigwa,kwa maana akishajihakikishia kwamba hayupo katika maeneo ambayo akifanya kosa atapigwa basi ndipo huanza kufanya kwa vifichoo makosa hayo
Hongera sana mkuu.
Kuna watu walikuwa wananishangaa kwa nini nikiongea na mdogo wangu naongea naye kana kwamba yeye ni mtu mzima wakati yeye ni mtoto nimemzidi miaka mingi,hawakujua kwa nini.
Nilimfundisha sana madhara ya kila jambo kwa hoja na sio kwa kumkaririsha kwamba jambo hili mwiko huku akiwa hajui sababu hasa kwa nini halifai.
Mpaka hivi leo amekuwa ni kijana ambaye anajisimamia katika mambo mengi sana tofauti na vijana wengine kabisa,lakini hayo ni matendo ya kukaa nae kwa ustaarabu na kumuelekeza maisha yalivyo.
Kuna siku huyu dogo aliiba pesa sehemu wakati yuko mtoto,nikasema nakaa naye chini nikaanza kumuelekeza madhara ya wizi kwa upole sana kana kwamba sio yeye ambaye aliiba,nilimpa maneno ya kugonga nyoyo na kumuonesha kwamba sisi hatujaathirika kitu kwa yeye kuiba na wala haituumi ila tunamuonea huruma yeye kwa kuiba kwa sababu ndio ameanza kuingiza tabia mbovu rohoni mwake jivyo yeye ndio atakayepoteza sio sisi aliotuibia,baada ya kukaa naye siku kadhaa na kumpa maneno ya kistaarabu yule dogo aliacha kabisa wizi mpaka hivi leo.
Mweeeeh! Mtoto niliyemkojoa mwenyewe...Mie mtoto akishafika miaka Saba huwa naanza kumkemea na kuongea nae tu maana ameshajua nini hapaswi kufanya na ana majukumu gani pale nyumbani.
I have two boys na Sasa wamekua mmoja 15mwingine 11 naona imesaidia. Huyu teenager ndio amekuwa kama afisa utumishi akiona mdogo wake hata suruali imeshuka lazima amkemee and he is doing well kwenye maomo na Michezo especially swimming.
So wanasema samaki mkunje angalia mbichi akikauka utamvunja tu same to watoto akikua utakuwa unapigia mbuzi gitaa.
Have some quality time with your children wawapo wadogo wafunze sana ule ni umri ambao hawapo exposed kwenye mambo mengi na ndio umri ambao wanajifunza na kushika kichwani kwa haraka zaidi, ule umri kabla ya miaka Saba , name mpaka Tisa ni umri ambao mtoto anapokea vitu na kuweka kichwani, jitahidi ukae nae halafu acha kumkemea kama mbuzi mkataze na meanie kwa nini unamkataza Tena kwa upole ili asiogope bali aelewe.
Utakuja kupiga mtoto wa miaka 17 anakupiga ngumi unaanza kulalamika anavuta bangi ,[emoji2][emoji2][emoji2] utaumbuka mbele ya mkeo na akishakupiga ujue nyumba anaicontrol yeye hakuna kitu mtamfanya.
[emoji1787][emoji1787]wazazi wanawafumania watoto wao wa kike umri wa miaka 10+ wanafanya mapenzi nyumban
Mtoto wa kike kavusha Mwanaume nyumban kwa mzazi
Unakutana na ushauri usimpige wewe muelekeze huyo mtoto
Mambo ya kuelekeza unataka kutengeneza mtoto aina ya Junior. Mtoto wa kiafrica wazazi wanamlea kizungu
we noma kagereza kadogoMweeeeh! Mtoto niliyemkojoa mwenyewe...
Labda niwe mgonjwa wa kupooza , wazazi wengine na sie tumekua kimafia.
Sometimes huwa natamani kujenga ka mahabusu hapa nyumbani.
Mimi napenda mtoto mwenye nidhamu kama jeshini.
Nachoshukuru wanangu ni marafiki zangu, naomba kwa Mungu anipe umri mrefu ili nihakikishe wanakuwa salama hadi hapo watakaposimama wenyewe kimaisha.
Mtoto akupige ngumi na awe mtawala home?
Si unajua watoto wanavyopenda michezo na kuwa free,sasa ukimpiga mahabusu ya 24 hrs lazima awe mpole.we noma kagereza kadogo
Hahahah jamaa utaua😃😃Mweeeeh! Mtoto niliyemkojoa mwenyewe...