Ni upi umri sahihi wa kuacha kumuadhibu mtoto?

Motivational speakers.
Ur very slow brother hapo nimevaa uhusika wa mindset ya watoto wa siku hizi. Ur a D student. I am dis appointed in u. Ungekuwa Mtoto wangu ningekupiga bila kujali umeanza kunyoa ndevu au umeanza Kupiga masterbation
 
Hello hello,

Kulea ni jambo zito sana sio jepesi hata kidogo, katika kulea wazazi hukutana na changamoto nyingi sana ambapo kuna wakat hadi wanajiuliza kwa nini nilimzaa huyu mtoto hasa pale mtoto anapokuwa haambiliki hasikii, hapo kiboko hutumika sana kujaribu kumuweka sawa.

Hivi ni wakati gani hasa sahihi wa kuacha kumpiga mtoto wako pale anapokuwa amefanya kosa au amefanya tofauti na vile ulivyomuagiza?

View attachment 2080328 View attachment 2080330
View attachment 2080336
Akianza kufanya masterbation
 
Ur very slow brother hapo nimevaa uhusika wa mindset ya watoto wa siku hizi. Ur a D student. I am dis appointed in u. Ungekuwa Mtoto wangu ningekupiga bila kujali umeanza kunyoa ndevu au umeanza Kupiga masterbation
unampiga mbele ya watoto zake dadeki[emoji848][emoji848]
 
Ur very slow brother hapo nimevaa uhusika wa mindset ya watoto wa siku hizi. Ur a D student. I am dis appointed in u. Ungekuwa Mtoto wangu ningekupiga bila kujali umeanza kunyoa ndevu au umeanza Kupiga masterbation
Hakika makalio hua yanasingiziwa tu maana yenyewe hua yanatumika Kama spika tu,mchawi tumbo
 
Back
Top Bottom