Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

Kwani nani mkamilifu??, wasiosumbua wako mortuary brother.
 
🙏🆒💬
 
Mkuu siku wahi kulitizama hili kwa sura hii na namna ulivyoliwasilisha! Pokea maua yangu 💐
 
Mkuu zingatia sana ushauri huu!
 
Hadithi ya upande mmoja


Hivi na wewe ukizingua mke naye aseme atakurudisha kwenu?

Au anayepaswa kurudishwa kwao ni mwanamke tuu?
 
Huyo tayari ni mke kwa sheria za nchi .akienda kudai chake mahakamani usije kulia hapa..kwa mwanamke unayeishi naye maana yake ameshakuzoea tegemea tabia hizi gubu,ubinafsi,kutokukubali makosa,mdomo( hapa inakera sana anaweza kuropoka tu akakuambia ulikuwa kwa mwanamke mwingine ilihali wewe ulikuwa bize na kazi zako kwa mwanaume mwenye hasira hapa anaweza kumkata makofi) anafanya hayo yote kwa sababu anajua huwezi kumfanya kitu na hata ukimfanya kitu atatengeneza mazingira ionekane unamuonea kwa kuwa yeye ni mwanamke...
Hiyo ni real experience yangu wangu mimi namtimua siku si nyingi..
 
Kama una uhakika wa kupata mtoto mwingine we ondoka na begi lako kaanze upya. Kama huna uhakika vumilia umtunze mwanao
 
JE KUNA MATATIZO MENGINE ZAIDI YA DHARAU?
JE NI NINI CHANZO CHA DHARAU?
JE WEWE UNA MCHANGO GANI KWENYE TABIA HIYO/HIZO?
JE YEYE ANAKUVUMILIA WEWE KWENYE TABIA GANI? ZIPI?
JE AKURUDISHE KWA WAZAZI WAKO UKAANDALIWE VIZURI?

SIO RAHISI KUPATA SULUHU YA MATATIZO YENU KUTOKA KWA WATU BAKI, WASIO WAJUA MNAISHI ISHI VIPI HUKO NDANI.
TENA KUTAFUTA SULUHU NJE YENU NI ISHARA YA KUVUNJIKA KWENU.
 
unaonekana wewe goigoi na dhaifu mwanaume goigoi ndo analeta haya malalamiko..simamia majukumu yako uone kama wife atakudharau inaonekana sehemu kumeloose...!jichunguze..na jitahidi kuongeza kipato
Wew ni fala sana..akil zenu zikjitahid kuwaza mbali bas mwishi wake ni kwenye hela wanga nyie..mindset za kifukara hiz.. si mtafute za kwenu
 
Hivi,mnahangaikaje na mtu mliemkuta akiwa mtu mzima? Kwani kwa sasa,hao ma ex ameachana nao?
Mtoa mada eh,ukibahatika kumjua mtu,fanya maamzi. Hakika mpaka unakuja kuandika hapa,uvumilivu umekushinda.
Mtoto anauma sawa,hasa ukizingatia pengine ulikuwa unasukuma yeye kuhudumiwa.
Akiwa kwa bibi yake,ataishi tuuu. Kikubwa usisitishe matumizi.
We mwambie unataka mkamuone mama yake. Akikataa, force. Panga safari nyingine itakayofanya mpite kwao. Mkifika tu,tua. Kama mabegi mtumie.
Maana wa hivyo kwa hiari humtoi.
 
Kwan ni yeye anakulea ? Kama mmepanga chukua vitu vyako vya muhimu hama kafanye maisha yako upya.
Kama mmejenga chukua hati ya nyumba na vitu vya muhimu ondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…