Kwanza mweleze kusudio lako la kutaka kumrudisha kwao akapumzike mapumziko mafupi ya mafunzo. Ukishamwambia hivyo akiona upo siriasi huwa wanabadilika.
Sasa asipobadilika mrudishe kweli. Sababu ya kumrudisha usiwaambie wazee yeye ndiye atawaambia na kama wana busara watakupigia simu kujiridhisha maelezo yake na yako kama yanalingana maana wajanja hawa, unaweza kumrudisha kwa sababu fulani halafu yeye akaenda kusema hajui sabubu iliyomrudisha nyumba.
Kiendo cha kuwa pale kwa wazazi kitawafedhehesha wazazi kwamba walikuwa na malezi mabovu, hivyo watajitahidi binti yao arudi mstarini ili maisha yaendelee mkiwa pamoja.