Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kwahiyo akina Bill gates , Jeff Bezos, Reginard Mengi etc woote shida ilikua ni pesa??kataa kubali ukweli ndo huo
Hil ni kosa kubwa vijana wanafanya.usimuoneshe kwamba bila yeye wewe huwezi , shida vijana mnapenda sana
makosa ndoani yamegawanyika kwenye categories nyingi mkuu..acha kukaririKwahiyo akina Bill gates , Jeff Bezos, Reginard Mengi etc woote shida ilikua ni pesa??
Dah! Kweli?Huyo ni chaguo lako
Nakubali. Sasa pesa uliitoa wapi kama sababu kwenye issue ya ndoa ya jamaa???makosa ndoani yamegawanyika kwenye categories nyingi mkuu..acha kukariri
read btn lines...Nakubali. Sasa pesa uliitoa wapi kama sababu kwenye issue ya ndoa ya jamaa???
For youunaonekana wewe goigoi na dhaifu mwanaume goigoi ndo analeta haya malalamiko..simamia majukumu yako uone kama wife atakudharau inaonekana sehemu kumeloose...!jichunguze..na jitahidi kuongeza kipato
Unampeleka kwa wazazi wake kufanya nini?! Kama mmeshindwana kila mtu akae kwake kama kuondoka hapo mnaweza kubaliana wa kuhama, kama ni nyumbani kwako yeye aende kwake kama mmepanga gawaneni vitu kila mtu kivyake.Habarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahali tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.
Naomba kuwasilisha.
Kama umepanga ondoka kwenye nyumba.. nenda kapange sehemu nyingine muache akae humo Ndani mwenyewe.. au usitumie chochote chake Wala usimuongeleshe Wala Kulala nae chumba kimoja na Kama ikiwezekana mtengenezee fumanizi kabisa Kama ushahidi wa sababu ya kuachana.. maamuzi magumu yanahitaji watu wenye mioyo migumuNaomba tu niungie... Wakuta mwanamke wamuambia habari za kumrudisha kwao anakujibu live kuwa asee humu ndani sitoki hunipeleki popote hutaki toka wewe mi nipo, na tayari mahusiano mna mgogoro mnapishana mno.. still kauli ndio hiyo kuwa mi huniachi na hunirudishi kwetu.. (kiburi,dharau vimetawala) .. unamtoaje ndani na kumfikisha kwao salama? Hebu mawazo yenu plz.. mana mtu unahitaji kufanya busara hata majirani wasijue kuna shida
Hayo unajiongelea wewe. Wanaoishi wana mengi usiwaone wanatembea,Huyo jamaa nae ni tahira utaombaje msamaha kwa kitu ambacho hujafanya?,na anaanzaje tena kuishi na Mwanamke anaye kusingizia uongo mkubwa namna hiyo mbele ya watu?
Huo ni utahira.
Hivi, mkuu,hata kama unampenda,ukishajua maamkwe wako anacheza yale madude,unafanyaje🤣🤣🤣🤣...wazazi kufedheheka labda siyo hawa wacheza vigodoro...
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Dah! Mkuu,kumbe na wewe!? Pole sana. Kwanza likitokea hilo,tambua huyo si mkeo.Naomba tu niungie... Wakuta mwanamke wamuambia habari za kumrudisha kwao anakujibu live kuwa asee humu ndani sitoki hunipeleki popote hutaki toka wewe mi nipo, na tayari mahusiano mna mgogoro mnapishana mno.. still kauli ndio hiyo kuwa mi huniachi na hunirudishi kwetu.. (kiburi,dharau vimetawala) .. unamtoaje ndani na kumfikisha kwao salama? Hebu mawazo yenu plz.. mana mtu unahitaji kufanya busara hata majirani wasijue kuna shida
Hili ni kwa wale mama wa nyumbani mzee. Na kuna mtu alisema,unaachana nae,anaolewa mlango wa pili hapo hapo mnapokaa.Mwisho wa mwaka huu mkuu nenda naye kwao ukifika wewe muache kwa wazazi waambie utawatumia nauli ili warudi maana hesabu zimekaaa vibaya tumia njia hyo mkuu.
Kila jamii ina utaratibu wake. Uliwezaje kuoa bila kujua tararatibu nyingine za ndoa? Rudi kwa hao hao waliokuozesha watakupa utaratibu.Habarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahali tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.
Naomba kuwasilisha.
Hata mama yako alikuwa mke kwa baba yako,dada yako ataenda kuwa mke na shangazi yako vile vile...kikubwa tujifunze kutumia hekima ya kimungu kipindi cha kutafuta mchumba atakae kuja kuwa mke....Mke ukion anakusumbua tafuta mwingine
kama unaruhusiwa ndoa za wake 2 owa wa pili maisha yaende mbele
, leo ukifa mtoto wako atakuwa amepoteza baba, mama yako atakuwa amepoteza mtoto, dada yako atakuwa amepoteza kaka , mkeo atafutwa na yule jamaa aliekuwa anamtongoza kisha mkeo anajibu nina mume wangu sasa jamaa atakuja na kumwambia jamaa ashakufa tunafanye sasa.
Yaani ukishaona mama mkwe ni wa hivyo basi ukumbuke ule msemo like mother like daughterHivi, mkuu,hata kama unampenda,ukishajua maamkwe wako anacheza yale madude,unafanyaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
That is more relativeread btn lines...