Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

mpandishe cheo awe mke mkubwa.

Lakini pia na wewe jichunguze hakuna mahala una tatizo? kuwa mkweli kwa nafsi yako, maana hapa ni wewe ndio umeleta malalamiko hatujapata nafasi yakumsikiliza na mkeo.
 
Pole sana kaka nahisi utakua bado hujaoa au either huyajui maisha vizuri nakupa pole ila ukikua utajua nachomaanisha mimi

Nakuambia kuwa Mwanamke usipomkojoza hayo ndio matatizo yao.
Mwanamke hawezi msumbua mwanaume anayemkojoza.

Fanya mpango huo alafu uone kama ataleta hizo unazoita dharau.
 
Aya sawa hakuna tatizo.

Usijesema nimekudharau Mkuu.
Mimi nimekupa tuu mbinu ambayo ukiiweza hiyo hakuna Mwanamke atakayekusumbua hasa baada ya kulala naye.

Wanawake wanapenda Raha, uzuri, utamu na furaha.
Ukishindwa kutimiza chochote kati ya hayo wanayoyapenda lazima dharau zizuke.
 
Pole sana kaka nahisi utakua bado hujaoa au either huyajui maisha vizuri nakupa pole ila ukikua utajua nachomaanisha mimi
Zingatia alichokwambia jamaa, mfanye mkeo ajue kuwa we ni Moja ya bidhaa adimu acha kuwa Mr nice guy. Mpige matukio ya mechi za nje ajue hayupo peke ake.
 
Matatizo ya Jamaa yapo kati ya haya;

1. Hamkojozi binti wa Watu.
Mke ukimkojoza hawezi kukusumbua kamwe.

2. Hajiamini
Mwanaume anayejiamini anauhakika wa kuoa Mwanamke mzuri mwingine. Hivyo mkewe hawezi kumsumbua

3. Anampenda kupitiliza.
Lakini kumpenda mtu kupitiliza hakumfanyi Mwanamke akudharau ikiwa unamkojoza
🤣🤣🤣
 
Usijesema nimekudharau Mkuu.
Mimi nimekupa tuu mbinu ambayo ukiiweza hiyo hakuna Mwanamke atakayekusumbua hasa baada ya kulala naye.

Wanawake wanapenda Raha, uzuri, utamu na furaha.
Ukishindwa kutimiza chochote kati ya hayo wanayoyapenda lazima dharau zizuke.
Usiwaze kabisa ni mojawapo ya maoni japo ilo linafanyika vizuri tu bila mafanikio
 
Ya
Usikurupuke lakini....

Ulishawahi Kumpotezea?
Yaani mpotezee kabisa huuoizi kitu,humwambii Chochot

Usikurupuke lakini....

Ulishawahi Kumpotezea?
Yaani mpotezee kabisa huuoizi kitu,humwambii Chochote
Yote nimefanya nampotezea anajishtukia badae anarudi kwenye tabia yake na kilichopo inaonekana Mama yake ndio anamuharibu hivyo namrudisha kwake ili wawe karibu karibu wafundishane zaidi
 
Zingatia alichokwambia jamaa, mfanye mkeo ajue kuwa we ni Moja ya bidhaa adimu acha kuwa Mr nice guy. Mpige matukio ya mechi za nje ajue hayupo peke ake.
Kwahasira wakijua mnapiga mechi za nje wanatutunuku bila hiyana sisi bodaboda
 
Happiness is a choice.

Choose to be happy.

Fanya jambo litakalokupa Furaha bila kumuangalia mwingine ilimradi huvunji sheria.

Saingine ni Sawa kutoeleweka na mtu au watu pale unapoamua kuchagua lenye kukupa furaha.
 
Kuna jamaa alimrudisha mke kwao akarejea na mimba
 
Kuna jamaa alimrudisha mke kwao akarejea na mimba

Sawa tu yote maisha.

Hata kama atasema aliondoka nayo sawa tu.

Ujue mpaka kufika pa kupelekana kwa wazazi hiyo ni dalili kuwa penzi limeyumba.

Hapo Mwanaume anaona hana cha kupoteza.

Na akipata mimba ya mashaka ndio kabisa atenda kula aliko peleka mboga.
 
Back
Top Bottom