Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

Kama unampenda Mke wako tafuta solution nyingine ili akuelewe, kama masikio mawili hayasikilizi basi zibuwa sikio la Tatu atakusikiliza tu.

Ukimrudisha kwao ndio umeshavunja hiyo ndoa na ukianza kummis wewe ndio umekwisha, utataka kumrudisha atakataa sasa utageuka wewe kuwa mtumwa.

Choose wisely.
Nawasiwasi mwamba anashindwa kumkabili wife.
 
Sema kosa watu wengi hasa wanaume wanalolifanya,vijijini kwao huko wameacha wanawake wa maana,wamefika mjini wakawaona wanaojua kuchomekea videla kwenye chupi na sidilia na kukata makopo yao(viu..),wakadhani wamepata,kumbe wamepatikana.
Mjini si pa kuoa.
Vijana,mkielewana,kwake usiende,kwako asije,nendeniguest mmalizane huko huko. Maana wengine mkiona mmenunua godolo kubwa na TV flat,mnataka waone kuwa mnajiweza.
Hapo mmeisha.
Mkuu,hujamzaa kulazimisha mkaishi. Na wewe mwenyewe ndo mwenye maamzi. Mdaa ndo sasa.
Umenena vyema mkuu
 
Huyo mwanamke dawa yake ni ndogo.... Anza kulewa sana, ukirudi nyumbani uwe umelewa chakari, hata akikutukana ajue anamtukana mlevi

Mara nyingine uwe unalala nje, ili umtie stress sometimes unaamua kulala kwa malaya zako mwezi mzima bila kurudi nyumbani. Akipiga simu unawapa malaya zako unawaambia malaya zako wawe wanamtukana matusi makubwa....
 
Nashangaa watu wanasema mwanamke hapigwi. My bro hujakutana na mwanamke mwenye kibri na dharau... Mim kukua kwangu sikuwahi kumwona baba akimpiga mama wala ukoo hatuna desturi hiyo ila huu msaraba wangu nimejikuta nimembutua zaidi ya mara moja kitu ambacho si kizuri kbx kupigana ndani ya ndoa... Sasa hvi naona heshima utii vimerudi sasa anaelewa kila ninalomwambia
 
Habarini za usiku wapendwa

Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yaani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahari tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.

Naomba kuwasilisha.

1. Tafuta nauli, nenda naye nyumbani kwao.
2. Ukifika waambie utamuacha binti yao hapo mpaka atakapokuwa na adabu na heshima. Waambie adabu waliyomfundisha haku-score alama nzuri ndio maana anakusumbua.

3. Waambie utakuja kumchukua mwenyewe kama ulimvyomleta.

4. Kisha huyo unatoka zako.
Usijibishane naye. Kuhusu hizo dharau na utovu wa adabu usiwasimulie wewe. Waambie binti yao atawaambia ukweli. Kama atashindwa au atatunga uongo hiyo ni juu yake na yao.

Kisha unatoka Nduki
 
Kwa nini umpige mtu mzima.
Fukuza.
Unajua wengi wanaoua Wake zao wanaua kwa mtindo huohuo bila ya kukusudia
 
Ktk maisha yako kuna watu ambao ukiwapoteza hauwezi kuwapata haijalishi au bora au sio bora watu hao ni kama, baba,mama,mtoto wako,kaka, dada,shangazi,nk hawa ndio watu muhimu kwa sababu hata iweje bado wapo ndani ya famili ,wanatumia jina moja la ukooo wenu.

Mke ukion anakusumbua tafuta mwingine
kama unaruhusiwa ndoa za wake 2 owa wa pili maisha yaende mbele
, leo ukifa mtoto wako atakuwa amepoteza baba, mama yako atakuwa amepoteza mtoto, dada yako atakuwa amepoteza kaka , mkeo atafutwa na yule jamaa aliekuwa anamtongoza kisha mkeo anajibu nina mume wangu sasa jamaa atakuja na kumwambia jamaa ashakufa tunafanye sasa.

Mwanamme ujiamini uwe shupavu kama mwanamke haelewi rudisha kwao atajifunza huko kama ndoa ni muhimu au la kuna wanawake wengine wanapewa kibuli na hawo ndugu zao,huwenda mama au baba anamwambia asikunyanyase kwenu haujauwa, jiongeze usije kufa mapema ukatuachia mjane na kuongeza single mother wengine
Mkuu umemaliza yote tena ni Kama unanisema Mimi manake wanawake wanatiwa viburi na ndugu zao hasa Mama mzazi
Tena wanataka wawe juu yako ndani ya familia aisee hicho kitu hakiwezekani Bora aende hukooo
 
Siku hizi hakuna huo utaratibu akikuchoka anaenda mahakamani kuvunja ndoa mgawane mali na mahakama inaamuru abaki na nyumba alee watoto na wewe mume utoke uende kwa wazazi wako au ukapange, na uwe unamlipa hela kila mwezi. Yaani wanaume tumetungiwa sheria za kutukomoa wasioe wala wasizalishe watoto wawe mashoga tu au wateja wa machangudoa. Yaani Shetani ametubana sana

Hajamuoa.
Katoa tuu mahari(kamnunua)

Hivyo kumuacha anauwezo wala hahitaji kujishauri
 
Hadithi ya upande mmoja

Hivi na wewe ukizingua mke naye aseme atakurudisha kwenu?

Au anayepaswa kurudishwa kwao ni mwanamke tuu?
Mwanaume akikosea mwanamke hatakiwi Wala kumpazia sauti
Sansana labda atoe machozi na kuzidi kumuombea mume wake kwa Mungu
 
Duh yaani badala ya kua mpole kwanza apate ndoa ,mahari tu ndo anazingua hivyo?

We usiende kwanza kanisani,tulia kabisa

Matatizo ya Jamaa yapo kati ya haya;

1. Hamkojozi binti wa Watu.
Mke ukimkojoza hawezi kukusumbua kamwe.

2. Hajiamini
Mwanaume anayejiamini anauhakika wa kuoa Mwanamke mzuri mwingine. Hivyo mkewe hawezi kumsumbua

3. Anampenda kupitiliza.
Lakini kumpenda mtu kupitiliza hakumfanyi Mwanamke akudharau ikiwa unamkojoza
 
.
Hata dunia zima mpaka nipate anaye-fit mfumo wangu.

Hizo kauli za utafukuza wangapi ni visingizio vya wanaume legelege. Unafukuza tuu.
haondoki mkuu lbd kama mlisogezana tu... Anakwambia tutabanana hapa hapa lbd uondoke wewe mim hapa nilishafika
 
Usiishi kwa kukojikosesha Furaha ya moyo wako,

Let it go.

Itafute Furaha yako ilipo uipate.
 
Huyo mwanamke dawa yake ni ndogo.... Anza kulewa sana, ukirudi nyumbani uwe umelewa chakari, hata akikutukana ajue anamtukana mlevi

Mara nyingine uwe unalala nje, ili umtie stress sometimes unaamua kulala kwa malaya zako mwezi mzima bila kurudi nyumbani. Akipiga simu unawapa malaya zako unawaambia malaya zako wawe wanamtukana matusi makubwa....
Wakati huo wewe ukiwa wiki nzima kwa malaya zako, na sisi bodaboda tunatumia hiyo fursa
 
Haya mambo ndo yananifanya nisimshirikishe mke wangu mambo muhimu ya maisha yetu (fedha, baadhi ya assets na mipango kingine ya familia). Vichwa box kama hawa ambao leo yupo,kesho mnaachana (hata kama mmefunga ndoa) ni wa kuwaweka mbali bila kusahau kuwapa michapio pale inapobidi.
 
1. Tafuta nauli, nenda naye nyumbani kwao.
2. Ukifika waambie utamuacha binti yao hapo mpaka atakapokuwa na adabu na heshima. Waambie adabu waliyomfundisha haku-score alama nzuri ndio maana anakusumbua.

3. Waambie utakuja kumchukua mwenyewe kama ulimvyomleta.

4. Kisha huyo unatoka zako.
Usijibishane naye. Kuhusu hizo dharau na utovu wa adabu usiwasimulie wewe. Waambie binti yao atawaambia ukweli. Kama atashindwa au atatunga uongo hiyo ni juu yake na yao.

Kisha unatoka Nduki
Nafanya hivyo kesho
 
Habarini za usiku wapendwa

Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yaani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahari tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.

Naomba kuwasilisha.
Hizo dharau zake ni zipi?
 
Mkuu umemaliza yote tena ni Kama unanisema Mimi manake wanawake wanatiwa viburi na ndugu zao hasa Mama mzazi
Tena wanataka wawe juu yako ndani ya familia aisee hicho kitu hakiwezekani Bora aende hukooo
The same to me yani mke akili zake zinaongozwa na Mama yake kila siri za ndani anaenda kusimulia kwa Mama yake adi the way tunafanya tendo la ndoa yani kiukweli inachosha sana huruma ni kwa mtoto lakini kwa hatua hii nimefika mwisho nimejichanganya kuoa kwenye familia ya watu wenye tabia za ajabu lakini nashukuru sijafunga ndoa kanisani hivyo
 
Back
Top Bottom