Ktk maisha yako kuna watu ambao ukiwapoteza hauwezi kuwapata haijalishi au bora au sio bora watu hao ni kama, baba,mama,mtoto wako,kaka, dada,shangazi,nk hawa ndio watu muhimu kwa sababu hata iweje bado wapo ndani ya famili ,wanatumia jina moja la ukooo wenu.
Mke ukion anakusumbua tafuta mwingine
kama unaruhusiwa ndoa za wake 2 owa wa pili maisha yaende mbele
, leo ukifa mtoto wako atakuwa amepoteza baba, mama yako atakuwa amepoteza mtoto, dada yako atakuwa amepoteza kaka , mkeo atafutwa na yule jamaa aliekuwa anamtongoza kisha mkeo anajibu nina mume wangu sasa jamaa atakuja na kumwambia jamaa ashakufa tunafanye sasa.
Mwanamme ujiamini uwe shupavu kama mwanamke haelewi rudisha kwao atajifunza huko kama ndoa ni muhimu au la kuna wanawake wengine wanapewa kibuli na hawo ndugu zao,huwenda mama au baba anamwambia asikunyanyase kwenu haujauwa, jiongeze usije kufa mapema ukatuachia mjane na kuongeza single mother wengine