Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana mkuuHabarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahali tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.
Naomba kuwasilisha.
Nashukuru sana nitafanyia kazi ushauri wako.Kwanza mweleze kusudio lako la kutaka kumrudisha kwao akapumzike mapumziko mafupi ya mafunzo. Ukishamwambia hivyo akiona upo siriasi huwa wanabadilika.
Sasa asipobadilika mrudishe kweli. Sababu ya kumrudisha usiwaambie wazee yeye ndiye atawaambia na kama wana busara watakupigia simu kujiridhisha maelezo yake na yako kama yanalingana maana wajanja hawa, unaweza kumrudisha kwa sababu fulani halafu yeye akaenda kusema hajui sabubu iliyomrudisha nyumba.
Kiendo cha kuwa pale kwa wazazi kitawafedhehesha wazazi kwamba walikuwa na malezi mabovu, hivyo watajitahidi binti yao arudi mstarini ili maisha yaendelee mkiwa pamoja.
HahahahaMwanamke ni Mtoto mdogo Mwenye umri mkubwa. bila kuchapwa viboko/mikanda haelewi. Unaona yule mwingine ameuza ardhi yetu na Nyingine kupeana BURE, huu si usenge huu?
Kwa uchunguzi wangu mdogo ambao nimefanya humu kwenye mitandao ya kijamii na hata kwa kupitia maisha ya watu mbalimbali huko mitaani, nimegundua kwamba wanandoa wengi zaidi hawana furaha juu ya mahusiano yao ya ndoa. Ndoa nyingi zina migogoro kiasi kwamba wanandoa wenyewe hawafurahii maisha yao ya ndoa. Hili ni pigo kubwa sana kwa taasisi ya ndoa kwa kizazi hiki cha sasa, na ipo hatari ya taasisi hii kuvurugika na kusambaratika kabisa ktk kipindi cha miaka michache ijayo kwa sababu tayari vijana wengi Wana mentality ya kwamba ndoa siyo kitu kizuri.Habarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahali tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.
Naomba kuwasilisha.
umemshauri kwa busara sana na libarikiwe tumbo lililo kuleta duniani!!!! Mimi nilitaka kumwambia amfukuzilie mbali!!!Kwanza mweleze kusudio lako la kutaka kumrudisha kwao akapumzike mapumziko mafupi ya mafunzo. Ukishamwambia hivyo akiona upo siriasi huwa wanabadilika.
Sasa asipobadilika mrudishe kweli. Sababu ya kumrudisha usiwaambie wazee yeye ndiye atawaambia na kama wana busara watakupigia simu kujiridhisha maelezo yake na yako kama yanalingana maana wajanja hawa, unaweza kumrudisha kwa sababu fulani halafu yeye akaenda kusema hajui sabubu iliyomrudisha nyumba.
Kiendo cha kuwa pale kwa wazazi kitawafedhehesha wazazi kwamba walikuwa na malezi mabovu, hivyo watajitahidi binti yao arudi mstarini ili maisha yaendelee mkiwa pamoja.
Ktk maisha yako kuna watu ambao ukiwapoteza hauwezi kuwapata haijalishi au bora au sio bora watu hao ni kama, baba,mama,mtoto wako,kaka, dada,shangazi,nk hawa ndio watu muhimu kwa sababu hata iweje bado wapo ndani ya famili ,wanatumia jina moja la ukooo wenu.Huko kwao unakomrudisha si ndiko alikokulia? Hizo tabia unazoziona kajifunzia kwako?
Kumrudisha mke kwao ni kuwapelekea mke ma ex wake wakapashe viporo na ni udhaifu mkubwa Kwa mwanaume.
Cha kukushauri kaa nae Chini tena ili kumkanya ikishindikana tafuta wazee wake anaowaheshimu uwashirikishe waongee nae ikishindikana na hapo piga Chini.
Ah ah apo inabidi uwe makini sana maana Kuna jamaa alimuambia mke wake aludi kwao maana amekuwa na dharau ivyo mwanamke alivyo fika kwao, wazazi wakumkuliza wewe mbona umeludi nyumbani kulikoni Binti akaanza kulia na kusema kwamba flani ananitaka kinyume na maumbile, Sasa ikabidi jamaa aitwe na kukalishwa chini mwisho wasiku ikabidi jamaa akubali kishingo upande na kuomba msamahaKwanza mweleze kusudio lako la kutaka kumrudisha kwao akapumzike mapumziko mafupi ya mafunzo. Ukishamwambia hivyo akiona upo siriasi huwa wanabadilika.
Sasa asipobadilika mrudishe kweli. Sababu ya kumrudisha usiwaambie wazee yeye ndiye atawaambia na kama wana busara watakupigia simu kujiridhisha maelezo yake na yako kama yanalingana maana wajanja hawa, unaweza kumrudisha kwa sababu fulani halafu yeye akaenda kusema hajui sabubu iliyomrudisha nyumba.
Kiendo cha kuwa pale kwa wazazi kitawafedhehesha wazazi kwamba walikuwa na malezi mabovu, hivyo watajitahidi binti yao arudi mstarini ili maisha yaendelee mkiwa pamoja.
Asante sanaPole Sana mkuu
Yote hayo yameshafanyika lakini hakuna mafanikioHuko kwao unakomrudisha si ndiko alikokulia? Hizo tabia unazoziona kajifunzia kwako?
Kumrudisha mke kwao ni kuwapelekea mke ma ex wake wakapashe viporo na ni udhaifu mkubwa Kwa mwanaume.
Cha kukushauri kaa nae Chini tena ili kumkanya ikishindikana tafuta wazee wake anaowaheshimu uwashirikishe waongee nae ikishindikana na hapo piga Chini.
mnapenda jidanganya sana aiseKwanza mweleze kusudio lako la kutaka kumrudisha kwao akapumzike mapumziko mafupi ya mafunzo. Ukishamwambia hivyo akiona upo siriasi huwa wanabadilika.