Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Huenda ungejua maana ya neno lofa, usingeandika haya🙂Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Lofa siyo tusi ila ni mtu alokosa kazi ya msingi ya kufanya. Na kwa muktadha aliozungumza Askofu, nadhani yupo sahihi.Hapana lofa ni tusi kubwa sana
Mimi mkiristo halafu naomba uache mambo ya udini tafadhari sana.
Lofa anapaswa kuitwa lofa na si vinginevyo, kutubu wana taratibu zao sidhani kama utaratibu huo huwa ni wa kutubu hadharani kama kunakuwa na sababu za kutubu.Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Na mimi namuita huyo Mkatoliki aliyeandika Barua ni Lofa.Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Nenda katafute video kampeni za mgombea uraisi kupitia CCM mwaka 2015.Kasema wapi ? nipe clip
Kofia ya Rais ki kubwa na ina effect kubwa zaidi ya Askofu katika suala la maadili Raisi ni wa wote wakati askofu ni wa upande mmoja..Kama Mkapa hakutubu laana itaendelea milele au mfufue aombe radhi kwanza ndo uhoji hili la Askofu.. Tanzania Urais umekua raisi sana..Tafakari kwa kina..Hatutegemei kauli kama Ile itoke kwa Askofu ni kuaibisha kofia ta ua
Aanze Samia kutubu kwanza kwa kuangamiza roho za watanzania zaidi ya 10000.Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Sasa Kwa nini mnashindwa kustahamini mawazo kinzani na Yao. Wanamuambia Raia Samia anashindwa kutoa Uhuru wa watu kutoa maono Yao na kuandamana. Sasa Naona So called askofi amepanic na kuanzia kuvurumisha matusi na kashfa.. hajui yankuqa ina Ku expose yeye kuwa ni MTU wa Aina gani? Kwa nini anamdhalilisha jamaa Kwa kuona kuna injustice na kupaza sauti yake?Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Nasema Ile lofa ya kiswahili ni matusiWewe ni loafer mwingine
Mvivu, mzembe wa kutafuta ukweli, maarifa na taarifa.
Umeshindwa kutafuta maana ya loafer?
Au haujui hilo ni neno linalotokana na lugha ya kiingereza likimaanisha mtu mwenye sifa za uzembe na uvivu?
Loafer (person): Someone who avoids work, an idler, or a layabout, derived from the verb "to loaf".
Kaangalie kwenye kamusi ya TUKI au BAKITA.Nasema Ile lofa ya kiswahili ni matusi