Wanapinga kauli za yesu viazi hawaHizi ndio nyuzi za maana mkuu....😋
Kwa nyuzi kama hizi, lazima taifa lisonge mbele....😜View attachment 3646314
Kabisa mkuu watatutesa ila wao ndio enjoyment yetu kubwa kuliko zotePumziko la mwanaume ni mwanamke mkuu hata uende beach, hata uende wapi lazima dick itadinda tu ndio maana billionaires wakikutanaga davos kule, kile kijiji kinapatga traffic kubwa ya escorts kutoka angle tofauti za dunia.
Kwa hio hakuna namna, ku-deal na mentallity ya mwanamke ni ngumu sana ila ndio unakuta ana makebo makubwa🍑, utafanya nini sasa
HakikaKabisa mkuu watatutesa ila wao ndio enjoyment yetu kubwa kuliko zote
Kila kitu kwa kiasi. Ukiendekeza sana hisia kuna namna wanaweza kukutoa roho kabla ya siku zako.Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao.
Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
Ndio maana tunasaidiana wengi mwanamke mmoja wanaume kibaoHakika
Mwanaume ni sex machine inayotembea kwa bahati mbaya mwanaume sio msanii mzuri wa kukidhi attetion ya mwanamke , na mwanamke kiu yake ni attention, kinachofatia nadhani unakijua
Cndiyo 😅Fact ni kwamba hata watutese vipi, tutang'ang'ana nao hivyo hivyo 😂 .
Kwamba unataka kutuaminisha kuwa nyeto si kitu?!Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao.
Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao.
Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
Kuukwea mnazi kwa kono moja ni ibada.