Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Ninajua wewe huna uwezo wa kuongelea siasa. Najua Mara unajiita Kichaa mtataVishu Mtata ni kati ya .....
Na sio Vishu Mtata ni katik ya ...
Jifunze kuandika vizuri na kukagua maandishi yako kabla hujapost.
Usikimbilie kujibu ili ionekane upo active ilhali huna hoja yoyote zaidi ya mipasho.
Kwahiyo unatakiwa uache kuandika mashudu, unatuaibisha JF.Sawa.
Sawa hata hivyo sijaona nilichobishana na wewe zaidi ya wewe kunishambulia moja kwa moja.Ninajua wewe huna uwezo wa kuongelea siasa. Najua Mara unajiita Kichaa mtata
Siasa ni Sayansi na siyo mihemko yako 🤣🤣🤣🤣
Aiseee kwakweli sina cha kukujibu ndgu, acha ibaki hivyo uaminivyo.Kwahiyo unatakiwa uache kuandika mashudu, unatuaibisha JF.
Tunaonekana wote kama akili zako hizo za kuvukia barabara tu
Hapa sikushambulii hapa ninakupa Somo uache kuandika mashudu. Nimekosea kukwambia uache kuandika mashudu?Sawa hata hivyo sijaona nilichobishana na wewe zaidi ya wewe kunishambulia moja kwa moja.
Una hasira kijana, tulia.
Sio kila mtu atawaza vile uonavyo wewe, jitahidi kukubali kutokubaliana.
Kwa hekma tu, hebu rudi tangu comment yangu ya kwanza, ni wewe ulikua ukijijibu na wewe mwenyewe huku ukilihusisha jina la Vishu Mtata
Mtu unayelaumu wengine kwa kukosea kuandika ona sasa wewe. Hatujamaliza hata saa moja.Aiseee kwakweli sina cha kukujibu ndgu, acha ibaki hivyo uaminivyo.
Sawa.Mtu unayelaumu wengine kwa kukosea kuandika ona sasa wewe. Hatujamaliza hata saa moja.
Unatakiwa ujifunze kusikiliza wakubwa acha mihemko. Nimekuambia uache kuandika mashudu
Somo:
Kama ilivyo kwa sayansi, siasa pia inajaribu kuunda mifumo na nadharia zinazoweza kueleza na kutabiri matukio ya kisiasa. Hizi nadharia zinaweza kutumiwa kuelewa mienendo ya kisiasa, ushawishi wa nguvu, na mabadiliko ya kijamii.
Je, umeniahidi hutaandika mashudu tena?Sawa.
Unaipenda hii ID yangu sio bure.Vishu Mtata nijibu basi nielewe kama somo langu limeingia kwenye kichwa chako.
Siasa, kama sayansi, hutumia lugha ya kiufundi na dhana maalum ambazo husaidia kuelezea dhana tata kwa namna inayoweza kueleweka na wanataaluma wa fani hiyo.
Vishu Mtata ninajua wewe unajifanya mtata wakati wewe ni mkate tu.Unaipenda hii ID yangu sio bure.
Anyways nimekuelewa.
Mbona mumeo hajateuliwa mkuu?Mjinga ni yule ambaye hajui kuwa hao WAMESHATEULIWA baada ya kutoka hizo nafasi za uteuzi....
TuliaArgumentum ad hominem
Anafutia yako?Kwa wale wenye tabia ya kufanya mapenzi na kuwaambia wenzao wafutie tshirt yeyote hapo chini na kwa bahati mbaya ikawa ndio hiyo tshirt ya mheshimiwa hapo si itakuwa ni bonge la disrespect😂