Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Wanavaa au wanavalishwa ? There is a difference..., Unaweka ukatoka kwako kwenye kabati lako unazo hizo fulana ukavaa (huko ni kuvaa) unaweza ukafika mlangoni kwenye tukio ukapewa kwamba vaa hii (hapo ukikataa ushaonekana una visa).....

Anyway ni vitu Vain na Petty mimi ningekuwa kiongozi ningewaambia acheni ujinga (kuna Rais mwenye busara aliwaambia wananchi maofisini waweke picha za wake zao na watoto wao na sio picha yake)....
 
Kichani ni zero unakuja kupigia watu kelele hapa. Nimekuuliza mara 100 hujibu swali dogo tu.

Mambo ya siasa utayaweza?
Mjinga wewe nimekuonya acha kuja DM kunipiga mizinga, nakuta hapa kwenye public na mumeo aone ujinga wako
 
Katika hizo nchi mbili ni waziri gani amewahi kupinga agizo la Rais?

Mwezi uliopita Kenya waliandamana Waziri wa Fedha aligoma kwenda kusoma bajeti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…