Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Wanavaa au wanavalishwa ? There is a difference..., Unaweka ukatoka kwako kwenye kabati lako unazo hizo fulana ukavaa (huko ni kuvaa) unaweza ukafika mlangoni kwenye tukio ukapewa kwamba vaa hii (hapo ukikataa ushaonekana una visa).....

Anyway ni vitu Vain na Petty mimi ningekuwa kiongozi ningewaambia acheni ujinga (kuna Rais mwenye busara aliwaambia wananchi maofisini waweke picha za wake zao na watoto wao na sio picha yake)....
 
Siasa ipo kwenye damu dada angu wewe lete jingine
1724677613618.png
 
Katika hizo nchi mbili ni waziri gani amewahi kupinga agizo la Rais?

Mwezi uliopita Kenya waliandamana Waziri wa Fedha aligoma kwenda kusoma bajeti?
 
Back
Top Bottom