Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Wewe ndio Mbumbumbu number moja hapa duniani 🤣🤣🤣🤣Nakuona huna time nae but anakufuata mpaka Dm, huu ni utoto kabisa.
Anataka kunipiga mizinga huyu UWTNakuona huna time nae but anakufuata mpaka Dm, huu ni utoto kabisa.
Vipi mbona umeaza kukimbia 🤣🤣🤣🤣Anataka kunipiga mizinga huyu UWT
Napika kuku na panya wake wote. Naruhusu sasa panya wote wafunguliwe niwamalize 🤣🤣🤣🤣Njoo kwangu mbona unanikimbia...
Would you pls elaborate it!Wewe ndio Mbumbumbu number moja hapa duniani 🤣🤣🤣🤣
Andika kiswahili achana na broken english 🤣🤣🤣🤣Would you pls elaborate it!
Mjinga wewe elimu ako inakusaidia nini wewe na mumeo mnaishi kwa dada akoVipi mbona umeaza kukimbia 🤣🤣🤣🤣
Elimu yako ni darasa la ngapi?
Shule nimesoma na mumeoWewe hujaenda shule. Kaa kimya mzee utaaibika. Hunauwezo wa kuongea kwa watu wenye akili.
Nenda shule dogo utasaidia ukoo wako na kizazi chako. Kupiga domo bila elimu ni UpumbavuMjinga wewe elimu ako inakusaidia nini wewe na mumeo mnaishi kwa dada ako
Jibu swali dogo 🤣 🤣 🤣 Achana na mipasho.Shule nimesoma na mumeo
Kenyata alisema sisis ni MAITIPamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.
Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.
Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.
Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.
Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.
Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.
Angalia hio.
Nimekuuliza mumeo ana elimu gani? kizazi changu nakihudumia nasikitika wewe na mumeo mnaishi kwa dada akoNenda shule dogo utasaidia ukoo wako na kizazi chako. Kupiga domo bila elimu ni Upumbavu
Mbona hutaki kutaja ya mumeo?Jibu swali dogo 🤣 🤣 🤣 Achana na mipasho.
Elimu yako ni darasa la ngapi?
Hapa tunaongea mambo ya kisomi dogo. Wewe shule hakuna kichwani. So nenda kijiweni ukapige sogaNimekuuliza mumeo ana elimu gani? kizazi changu nakihudumia nasikitika wewe na mumeo mnaishi kwa dada ako
I'm comfortable to conversate in English! Let's do it broh... Did you say MBUMBUMBU??Andika kiswahili achana na broken english 🤣🤣🤣🤣
Mjinga wewe unahudumia familia angu? weka vyeti vyako hapaBenjamini Netanyahu Kijana anayepiga domo kwa kutumia domo kuuuubwa kumbe kichwani empty 🤣🤣🤣🤣
Andika kiswahili dongo. Kingereza hujui 🤣 🤣 🤣 🤣I'm comfortable to conversate in English! Let's do it broh... Did you say MBUMBUMBU??
What does it mean?