Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Aibu kubwa sana!
 
Rwanda wao wanapenda kuvaa nguo zenye picha au rangi za bendera yao, kwa hilo wana A+
 
Kama kweli hawalazimishwi kuvaa hivyo, basi Kuna tatizo kubwa sana awamu hii ya Sita!!

Inawadhalilisha sana hawa wazee!!
 
So you don't to teach me some few swahili words like the one you said it above
Wewe ni bumunda. Kingereza cha google translate unataka kutulete hapa?

Hebu jibu kwanza simple question
What is Politics?
 
DUBULIHASA anatumia google translate na kuandika kingereza cha mchongo. Kama shule hakuna kichwani ni hakuna tu.

Huwezi ukanenepesha ng'ombe siku ya mnada
 
Kama ya nyumbani kwako yanakukwaza hamia Kwa jirani.

Mbona Machadema Yana kofia na t shirt za picha ya Lisu na Mbowe?

Siasa ni siasa muraaa,ilimradi ushindi 😂😂😂

NB: Mbulula watakwambia ChoiceVariable ni chawa
 
Mwisho,uchawa ni nini? Tangu lini kuvaa t shirt ya Kiongozi unaemkubali ukawa uchawa?

Ila mkivaa za wachezaji sio uchawa?

Kuna tatizo ya tafsiri kwenye kichwa chako mtoa mada ama chuki Kwa Samia ndio zinakutesa,ni hivi utateseka sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…