Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Poa dada anguSiwezi kujibu mtu asiye na elimu nitachafua ubongo wangu 🤣 🤣 🤣 🤣
Usimwamshe aliyelala.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa dada anguSiwezi kujibu mtu asiye na elimu nitachafua ubongo wangu 🤣 🤣 🤣 🤣
Usimwamshe aliyelala.....
Siku nyingine uje kwa adabu, nitakutengua kishudu chako. Ebo!!Poa dada angu
Aibu kubwa sana!Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.
Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.
Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.
Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.
Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.
Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.
Angalia hio.
Hebu ona naye huyu. Umezaliwa mwaka gani?Aibu kubwa sana!
Kuifananisha Tanzania na Rwanda ni UpumbavuRwanda wao wanapenda kuvaa nguo zenye picha au rangi za bendera yao, kwa hilo wana A+
Kama kweli hawalazimishwi kuvaa hivyo, basi Kuna tatizo kubwa sana awamu hii ya Sita!!Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.
Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.
Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.
Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.
Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.
Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.
Angalia hio.
Poa sisterSiku nyingine uje kwa adabu, nitakutengua kishudu chako. Ebo!!
So you don't want to teach me some few swahili words like the one you said it aboveHapa unaandika broken English mdogo wangu 🤣🤣�
Naona kimuhemuhe chako kimeishia chooni 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Poa sister
Hakuna tabu dada anguNaona kimuhemuhe chako kimeishia chooni 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Una mwanasheriaMaja nae kumbe ni mzee wa hovyo🚮
Wewe ni bumunda. Kingereza cha google translate unataka kutulete hapa?So you don't to teach me some few swahili words like the one you said it above
Kama ya nyumbani kwako yanakukwaza hamia Kwa jirani.Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.
Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.
Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.
Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.
Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.
Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.
Angalia hio.
Kwani yeye ana Rais na chama chake binafsi? 😂😂Maja nae kumbe ni mzee wa hovyo🚮
Wewe umeshiba!?Hata aibu hawana.
Njaaaaa.
Politics it's all about fucking your p*ssyWewe ni bumunda. Kingereza cha google translate unataka kutulete hapa?
Hebu jibu kwanza simple question
What is Politics?
Mwisho,uchawa ni nini? Tangu lini kuvaa t shirt ya Kiongozi unaemkubali ukawa uchawa?Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.