Ni vigumu sana kuishi na Binti asiye ndugu yako wa damu pamoja. Hivi wake zetu mnalitambua hili?

Ni vigumu sana kuishi na Binti asiye ndugu yako wa damu pamoja. Hivi wake zetu mnalitambua hili?

Kuwa mwanaume wa mfano bhana ,kuna wanamke wengi sana ambao sio ndugu au wenye ukaribu na familia unayoijua

Tunza heshima yako mkuu
[emoji848]
 
Unakoelekea utakuja baka watoto wako wakike maana nao wanakuwa na kukomaa
 
Ila binti wa kazi ina tegemea na muonekano, sio kila binti ni wa kumtamani.
 
Habari wana JF ,

Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi.

Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na Binti wa kazi ambae amekomaa na kakamilika vizuri?

Kihalisia ni ngumu sana na wengi huishia kuwafanya wake wenza , je wake zetu wanalitambua hili na wanatuchukuliaje?

Ingefaa kwa hili wajifunze na waangalie namna nzuri ya kutunza familia maana wengine ni wavivu tu.
 

Attachments

  • VID-20220620-WA0047.mp4
    7.7 MB
Kumvua nguo na kuruhusu house maid wako kuiona tupu yako ndani ya nyumba unakoishi na watoto wako na mkeo huo ni ulimbukeni na umaskini wa akili,kwanza itamjengea mkeo kudharaulika mbele yake na sijui mtapishana vipi humo ndani!

Au utajifariji umeowa wake wawili?
Afu akisalitiwa yeye anaua mtu😀😀😀
 
Ni rahisi sana kuandika haya ikiwa huna ambao wanasababisha huyo msaidizi awepo laiti kama wapo na unaona vile huwa mnapata shida vile msaidizi asipokuwepo basi hisia zako utapeleka pengine.
Si amesema ni uvivu wenu tu ndio unaowafanya mkae na wasaidizi wa ndani? 😀
 
Back
Top Bottom