Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Kuwa mwanaume wa mfano bhana ,kuna wanamke wengi sana ambao sio ndugu au wenye ukaribu na familia unayoijua
Tunza heshima yako mkuu
[emoji848]
Tunza heshima yako mkuu
[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana JF ,
Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi.
Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na Binti wa kazi ambae amekomaa na kakamilika vizuri?
Kihalisia ni ngumu sana na wengi huishia kuwafanya wake wenza , je wake zetu wanalitambua hili na wanatuchukuliaje?
Ingefaa kwa hili wajifunze na waangalie namna nzuri ya kutunza familia maana wengine ni wavivu tu.
Afu akisalitiwa yeye anaua mtu😀😀😀Kumvua nguo na kuruhusu house maid wako kuiona tupu yako ndani ya nyumba unakoishi na watoto wako na mkeo huo ni ulimbukeni na umaskini wa akili,kwanza itamjengea mkeo kudharaulika mbele yake na sijui mtapishana vipi humo ndani!
Au utajifariji umeowa wake wawili?
Si amesema ni uvivu wenu tu ndio unaowafanya mkae na wasaidizi wa ndani? 😀Ni rahisi sana kuandika haya ikiwa huna ambao wanasababisha huyo msaidizi awepo laiti kama wapo na unaona vile huwa mnapata shida vile msaidizi asipokuwepo basi hisia zako utapeleka pengine.
Hana anachojua huyoo. 😅Si amesema ni uvivu wenu tu ndio unaowafanya mkae na wasaidizi wa ndani? 😀