Tetesi: Ni vita ya kumzuia Nchimbi kuwa rais 2030, Samia sio tatizo

Tetesi: Ni vita ya kumzuia Nchimbi kuwa rais 2030, Samia sio tatizo

Ule utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, rias aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida ,Polepole halengi kumkwamisha rais Samia ,anawaza 2030
Vichwa vinawauma balaa.
Mnatamani kupasuka ila ndio hivyo sasa. Polepole ongea tena na wanao wamekumisi kukusikia.
 
Ninasikitishwa na kinacho ENDELEA NAOMBA kwanzia Leo muitangaze Tanzania ni nchi ya kifalme tujue maana mawazo ya tz iendeshweje ni ya wachache LAKIN nawambia amini msiamini tuko MILIONI sabini kwa taarifa yenu mnashindan na umati msisubiri pakuche hakika mtazomewa mtakua mnashinda ndani nawaomba badilikeni. Ogopeni karma ni mbaya SANA. MTU anaiba bilioni kadhaa WATZ wanahoji wanajibiwa SI wazalendo KWELI. Inauma SANA nikifikiria waga ninalia inaniuma SANA.




Bro Alex on da beats
 
Ule utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, rias aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida ,Polepole halengi kumkwamisha rais Samia ,anawaza 2030
Bora Nchimbi ndio agombee kuliko huyo maza wenu
 
Ule utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030
Sasa Ukiwa VP automatically huwezi kuwa Rais labda yatokee ya Mwendazake
 
Back
Top Bottom