Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Kwani nyie ni Mungu mnazungumza mambo ya 2030 as if mnamiadi na Mungu...hata jeipiemu alidhani atafika 2025 ,leo anakula udongo
Pia hana sifa ya kua mgombea kabisa, kwani kesha kua raisi na muhula wake umeisha, hayo mengine ni wizi na tamaa za kipumbavu😀 😀 😀
Ndio nawaambia Haiwezekani miaka 15 kusiwepo na wachukua fomu, kwanza issue ya Samia kuwa mgombea lazima tuirudie
kila mtu ana malengo yake,kwa nilivyomsoma aliyejiuzulu wala hana shida na huyu mngoni tatizo ni kule urojoniTeam Ima, umeeleweka
Huo utamaduni wa wapi, makamu wa Rais asigombee, acheni uwongo. Ni kwamba hajawahi kutokea makamu wa Raia aliyetamani urais. Kwani Mohamed Ali Shein si alikuwa makamu wa Raia akaja kuwa Rais wa Zamzibar? Au urais wa Zanzibar is urais? Polepole ni garasa tu liliokotwa na Magu hakuna analojua hasa kuhusu CCM ni sawa tu na Bashiru Ally, kiukweli Magu alitaka kuiharibu CCM na ni kwasababu ht Magu hakuwahi kuijua CCM. CCM ina wenyewe!Ule utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030
We ni mwehu km kawaida yako, hiyo fomu labda ya kujitengenezeaKuna watu watachukua fomu, mtabaki kuzubaa kwa mshangao this time.
We unamtegemea ht huyo nguchiro?Vichwa vinawauma balaa.
Mnatamani kupasuka ila ndio hivyo sasa. Polepole ongea tena na wanao wamekumisi kukusikia.
Wenyewe kina nani, we umegombea nini na wapi au we kazi yako kuja kulialia humu, huku hakuna wa kukusaidiaWapumbavu mmeona hii nchi ni mali yenu binafsi... safari hii wananchi tutawafurahisha na hesabu zenu hizo za kipuuzi
Hapana sema ana haki ya kugombea. Kwanza hatujavuka 2025 mmeshaanza kuwaza 2030, lini mnafanya kazi? Dira 2050 tutaifikia kwa mtindo huu?Nchimbi ni Rais 2030 hilo halina mjadala
Ana Sifa zote
October 2pm amedai WEWE ni chawa mnafuki,We ni mwehu km kawaida yako, hiyo fomu labda ya kujitengenezea
Sidhani km ht we unaelewa ulichokiandikaNinasikitishwa na kinacho ENDELEA NAOMBA kwanzia Leo muitangaze Tanzania ni nchi ya kifalme tujue maana mawazo ya tz iendeshweje ni ya wachache LAKIN nawambia amini msiamini tuko MILIONI sabini kwa taarifa yenu mnashindan na umati msisubiri pakuche hakika mtazomewa mtakua mnashinda ndani nawaomba badilikeni. Ogopeni karma ni mbaya SANA. MTU anaiba bilioni kadhaa WATZ wanahoji wanajibiwa SI wazalendo KWELI. Inauma SANA nikifikiria waga ninalia inaniuma SANA.
Bro Alex on da beats
Eleweni nyie nyumbu, kisichotakiwa na watanzania ni hilo kundi la vibaraka (chadema) kuingia madarakani.....hilo tu basi, na tuna furaha hilo lineshakaa vizuri.Kuna watu watachukua fomu, mtabaki kuzubaa kwa mshangao this time.
Mtahangaika ila mitano tena Iko pale pale.October 2pm amedai WEWE ni chawa mnafuki,
Kwamba kule zenji hakuna chawa wanaume 😄
Ujumbe pia uwafikie Lucas Mwashambwa ,ChoiceVariable ,Ritz ,chiembe
Unamjua huyo "Bora"?Bora Nchimbi ndio agombee kuliko huyo maza wenu
Kama tumekosa watu wa kuwapa dhamana ya kuongoza nchi basi twafa, Ila kumpa huyo Mzee mmmh!Sidhani! Kama vipi tumpe Dr Emmanuel Nchimbi urais sasa hivi...
! Tupo tayari kwa hilo!
Punguza sauti comrade!!Aiseh!Hatuwezi kuwa na Raisi mwenye mashavu kama kameza panya za Ntwara,yeye na mashavu mwenzake huyo bibi watupishe
Wananchi wa mitandaoniWapumbavu mmeona hii nchi ni mali yenu binafsi... safari hii wananchi tutawafurahisha na hesabu zenu hizo za kipuuzi
Cha kufanya huna mkuu punguza hasiraWapumbavu mmeona hii nchi ni mali yenu binafsi... safari hii wananchi tutawafurahisha na hesabu zenu hizo za kipuuzi
Habari nzima ya kufanya mambo kwa utamaduni ni ujinga na chaka la kuficha hila tu.Ule utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030