Endelea ku kremu hivo hivo kijana usiejiamini mayai mayai!Hii nchi itakombolewa na sisi wanawake ndio tutaingia front!hamtakaa muamini!Wananchi wa mitandaoni
Ingia front tukuone mwambaa!
Kama mzee Mwinyi alivyosuka mipango hadi mwanawe akapewa uraisi?Hakuna mtu mshenzi nchi hii kama Kikwete.
He orchestrated all of these ili mwanae Ridhiwani awe Rais 2030.
Tusipodeal na Kikwete nchi hii itaendelea kuwa nyuma hadi mwisho wa dunia.
Na asipozuiwa saivi sasa na mtandao wake kuharibiwa, hata akiondoa kikawaida mzizi anayoiweka sasa italisumbua hili Taifa hadi kiama.
Nae anapita mulemuleKama mzee Mwinyi alivyosuka mipango hadi mwanawe akapewa uraisi?
Wanawake gani?Endelea ku kremu hivo hivo kijana usiejiamini mayai mayai!Hii nchi itakombolewa na sisi wanawake ndio tutaingia front!hamtakaa muamini!
Na Bado mtavurugana huko ndani mpk basiUle utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030
Never haitakaa ije itokee km Mungu aishivyoNchimbi ni Rais 2030 hilo halina mjadala
Ana Sifa zote
Polepole HAWEZI kuizuia CCM kuchagua Mgombea Urais wa CCM 2030 na pia HAWEZI kuichagulia Mgombea Urais wa 2030. Sababu ni kwamba, "CCM ni ile ile.....!" Ina taratibu zake!Ule utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030
Anawajambisha hadi kolido zinawabana kukaa. Inabidi mchukue likizo kidogo mkajipepee .We unamtegemea ht huyo nguchiro?
Tutampima kwa miaka mitano atakayokuwa makamu. Kama atashindwa kutoa ushauri mzuri kwa Rais basi atakuwa hafai. Asije kusingizia kuwa ushauri wake ulipuuzwa. Ushauri ukipuuzwa unatakiwa ujiuzuru ukishindwa kujiuzuru unakuwa sehemu ya mfumo uliofeli hivyo asijekutusumbua baadaye kuomba uRais.Ule utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030