Ikizu Bukama
JF-Expert Member
- Nov 26, 2023
- 560
- 1,061
Hatuwezi kuwa na Raisi mwenye mashavu kama kameza panya za Ntwara,yeye na mashavu mwenzake huyo bibi watupisheNchimbi ni Rais 2030 hilo halina mjadala
Ana Sifa zote
Hatuwezi kuwa na Raisi mwenye mashavu kama kameza panya za Ntwara,yeye na mashavu mwenzake huyo bibi watupisheNchimbi ni Rais 2030 hilo halina mjadala
Ana Sifa zote
Nikikutana na Pisi ina akili hivi huwa nafurahi sana.Wapumbavu mmeona hii nchi ni mali yenu binafsi... safari hii wananchi tutawafurahisha na hesabu zenu hizo za kipuuzi
Kwani Nchimbi yeye ni nani mpaka kuwe na ulazima wa yeye kugombea urais?Ule utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030
Ule utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030
Kwa mbaaliiii ni kama nimefumbua machoUle utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030
Nchimbi hawezi kuwa Rais kamwe kwa kupitia michakato/Mchujo.Nafasi Pekee ya Nchimbi kuwa Rais ni kifo cha Samia. By the way Samia akifa kabla ya October,Mpango anakuwa Rais na tunaanza upyaaa .Nchimbi ni Rais 2030 hilo halina mjadala
Ana Sifa zote
Wewe nae hukumuelewa vizuri Pole Pole.Ule utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030
Hili ndio litaiua CCM, Haiwezekani kwa miaka 15 kusiwepo na uchukuaji fomu CCM, this is big NoNchimbi ni Rais 2030 hilo halina mjadala
Ana Sifa zote
Uliona wapi makamu anakuw rais hapa tz ukiachana na vifoUle utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030
😀 😀 😀Yani huyu awe raisi kwa bahati nasibu alafu amteue mtu kibahati nasibu alafu huyo nae aje kua raisi kibahati nasibu
Sidhani! Kama vipi tumpe Dr Emmanuel Nchimbi urais sasa hivi...Ule utamadani wa kusema makamu wa Rais Hawezi kugombea Urais unalenga kumzuia Nchimbi asigombee urais 2030. Habari za Mama Samia ni exceptional case, Rais aliyekuwa madarakani alifariki hivyo mama Samia kuendelea 2025 sio shida. Polepole halengi kumkwamisha rais Samia, anawaza 2030
kwamba ahadi ya SSH ni hewa mkuu?Katiba mpya itapatikana Zanzibar itakapopata uhuru kamili 😄
hadi kufika 2030 unaweza kutengeneza series ya season 10 kwa tetesiMtupunzishe sasa khah, tetesi everywhere
Pamoja na mleta mada kukusaidia kuandika Samia lakini wapi.2030 nileteeni samiya tena
Hahahahaaaa,Mmh,acha kukaza shingo utakufaPamoja na mleta mada kukusaidia kuandika Samia lakini wapi.
Nina uhakika huko ulikosoma yule top wa class kwenye paper hata akikuomlnesha jibu ameandika "A" wewe ungeandika "Ei".
Tafuta kamati kuu ya CCM 2002-2007....wajumbe wake Ni kina Nani....jibu utalipata paleNchimbi kavutwa sababu ya uwezo au sababu ni controllable?