Tetesi: Ni vita ya kumzuia Nchimbi kuwa rais 2030, Samia sio tatizo

Vichwa vinawauma balaa.
Mnatamani kupasuka ila ndio hivyo sasa. Polepole ongea tena na wanao wamekumisi kukusikia.
 
Ninasikitishwa na kinacho ENDELEA NAOMBA kwanzia Leo muitangaze Tanzania ni nchi ya kifalme tujue maana mawazo ya tz iendeshweje ni ya wachache LAKIN nawambia amini msiamini tuko MILIONI sabini kwa taarifa yenu mnashindan na umati msisubiri pakuche hakika mtazomewa mtakua mnashinda ndani nawaomba badilikeni. Ogopeni karma ni mbaya SANA. MTU anaiba bilioni kadhaa WATZ wanahoji wanajibiwa SI wazalendo KWELI. Inauma SANA nikifikiria waga ninalia inaniuma SANA.




Bro Alex on da beats
 
Bora Nchimbi ndio agombee kuliko huyo maza wenu
 
Sasa Ukiwa VP automatically huwezi kuwa Rais labda yatokee ya Mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…